Akina Dada wa kibongo Acheni Hizo.

Mhhhhh!! Tukubali tatizo tulilonalo na tusiukimbie ukweli, tujikomboe kwanza ki uchumi halafu mambo mengine yote yanawezekana. Mfano hii kasumba ya watu kupenda kukaa Dar na hawana deal yoyote wanaishi kwa kubangaiza wakati wangeweza kukaa huko kwao shinyanga na wakaja Dar na single kali na wakaheshimiwa.

Tuache kasumba pigana katika mazingira uliyo yazoea ni rahisi kutoka kuliko kuishi bila kuijua hata chai ya kesho itakuwaje. Watu wanaitamani Tanzania na wanaviona vinavyotamanisha sisi tuko hapa tunataka kwenda kuwa omba omba nje, shame on us!
 
na wakaka nao waangalie ipi?? ujue hapo pande zote mbili zinahusika!!!

Mi Bht naongelewa wale ambao wana-match na kuweza kufanya serious rlsh.

We unachoongelea hapa ni wakaka waliokosa dira za maisha / wanaoiga maisha ya juu na hawana means ya kufika, hivyo wanatafuta masugar mummy.Mara nyingi huwa hakuna ndoa hapo.

Lakini kwenu nyie wanawake huwa mnafeki mpaka na ndoa mnafunga kabisa.
Wabinti wangapi wakibongo wanamilikiwa na vibabu vya kizungu??
 
ndo maana nikasema kuna 'mapenzi' driven by material things (wanawake na wanaume vile vile) mtu anaingia kwenye ndoa kwa sababu ya 'kitu'.

hata wanaume wa bomgo wangapi 'wameolewa' na vibibi vya kizungu...njoo samora uone bana aaah!!!
 
Mwezi uliopita nilikua benki moja ya kanda ya ziwa, ebana usimpimie mtu kivile.
Vijana wadogo wadogo wanaingia na mifuko ya rambo na KUWEKA (si kuchukua apo) mahela mpaka nilichanganyikiwa.
Nyie akina dada msiwadharau wa mikoani, kuna watu wanamiliki Lexas benki na hawasemi, mnakosaga bahati ivi ivi.
 
tehe teh !!! Baelezeee baelezeeee kaka!!!
 
ndo maana nikasema kuna 'mapenzi' driven by material things (wanawake na wanaume vile vile) mtu anaingia kwenye ndoa kwa sababu ya 'kitu'.

hata wanaume wa bomgo wangapi 'wameolewa' na vibibi vya kizungu...njoo samora uone bana aaah!!!

Sa 'material things' ndo yapo dar na mamtoni tu? kwanini hata ww apo kwa mfano nikukutajia nipo Rukwa hutanithamini? mapenzi huwa yanakwenda wapi gafla??
 
Sa 'material things' ndo yapo dar na mamtoni tu? kwanini hata ww apo kwa mfano nikukutajia nipo Rukwa hutanithamini? mapenzi huwa yanakwenda wapi gafla??

nini rukwa hata mkululu we sema! kama nakufeel nakufeel tu!! as far as utakidi viwango
all in all simpendi mtu kwa mali anazomiliki....
 
Kweli mambo si mambo, pesa mbele vingine vinafuata, nyie hamuoni hata 50 cents anaitwa handsome coz yupo rich, lkn angekuwa hana mshiko sijui hata hao wadada km wangemuona, maana jamaa mh
 
Mi Bht naongelewa wale ambao wana-match na kuweza kufanya serious rlsh.

We unachoongelea hapa ni wakaka waliokosa dira za maisha / wanaoiga maisha ya juu na hawana means ya kufika, hivyo wanatafuta masugar mummy.Mara nyingi huwa hakuna ndoa hapo.

Lakini kwenu nyie wanawake huwa mnafeki mpaka na ndoa mnafunga kabisa.
Wabinti wangapi wakibongo wanamilikiwa na vibabu vya kizungu??

Hakuna kufeki wala nini, mapenzi vile vile hayana umri, vibabu vya kizungu vinalea na wanamapenzi ya kweli.

Anyway kuhusu kudanganya online kila mtu ana danganya wewe mwanaume unaongopa kwamba upo majuu kumbe upo madongo kuinama, hata mdada anadanganya kumbe yupo uchochoroni tu huko. Hivyo usitegemee kupata penzi la dhati kutoka online.
 
Ze semu tu yu.
Hiyo ya shinyanga imenikumbusha kitu,kuna mmoja mwezi uliopita alinikimbia baada ya kumwambia niko Shinyanga,, isije ikawa ni ww Lizy!!
Kwa asilimia kubwa ni wanawake, sisi labda tu ukiwa na intension ya kutafuta sugar mamy.

Hapana si kweli kila mtu anatafuta sugar mummy wengine wana mapenzi ya kweli kabisa baada ya kutoridhishwa na uhusiano waliokuwa nao na hivyo kutafuta mtu mpya. Hapo ndipo kiranga kinaanza wengine akina mama huonyesha tabia nzuri sana tena ya kuvutia na mtu akanaswa kwa mapenzi na tabia ya huyo mtu only to find out kwamba ana tabia tofauti kabisa na ile anayotaka mwenzie aione kama tabia yake.
 
Watu hawatafuti wake kwa chat rooms. Beware its dangerous. It cost more than a chat room and few phone calls to get a honest wife.
 
very true na mi nakugongea!!! hawa viumbe wa Mungu ni ngumu kuwaelewa. naona wao ndo wanapenda zaidi mapenzi ya kudanganywa!!! aki at times siwalaumu wanawake wanaowafix mamen!!! ukichunguza wengi wao walishaumizwaga sasa wanaona liwalo na liwe!!!

Duh !!! Nitakaa mbali na wewe kwa kweli !!! Hahahaaaa!!!!!
 
[/B]
Hakuna kufeki wala nini, mapenzi vile vile hayana umri, vibabu vya kizungu vinalea na wanamapenzi ya kweli.

Anyway kuhusu kudanganya online kila mtu ana danganya wewe mwanaume unaongopa kwamba upo majuu kumbe upo madongo kuinama, hata mdada anadanganya kumbe yupo uchochoroni tu huko. Hivyo usitegemee kupata penzi la dhati kutoka online.

Mpenzi Pretty si kila mtu anadanganya kuna wengine wanasema ukweli kabisa, kuhusu wapi walipo lakini bado wanatapeliwa kwa binti kujifanya ametulia kupita kiasi na ana adabu tele kumbe ni kiruka njia tu.
 
Mimi huwa nafawanyia research hawa viumbe kwenye mitandao mbalimbali ya urafiki na uchumba.

Mwanzoni tunachati fresh tu, linapokuja swala la kutaja sehemu nilipo, ndo hapo ninapowachezeaga akili hawa dada zetu.

Mara nyingi nikiwaambia niko mamtoni nachukua nondoz au napiga mgalala/box, basi maongozi yanakwenda vizuri mpaka kufikia mikakati ya kupanga engejimenti na harusi.

Asilimia kubwa pia huendelea kuchati nami, iwapo nitawaambia niko Dar, na niko kwenye ofisi flan kubwa hapa mjini.

Usilongwe ukawaambia ukweli hawa viumbe, kuwa uko Tandahimba,Ukwale au mikoani huko hasa ya pembezoni, hupotea ghafla na namba za simu hubadilishwa.

Hivi nyie akina dada, fedha na kazi ni kitu gani hasa mpaka mvipapatikie kiasi hicho?

Hivi huwezi ukaanza maisha na mwenza wako kwa kulalia mkeka kwanza?

Hamuoni fahari kuanza maisha from the grass root na mwenza wako?

Hivi mke wa Obama alijua mmewe atakua rais, ndo akamkubali fasta?

Duu sio mchezo mkubwa......
 
Mpenzi Pretty si kila mtu anadanganya kuna wengine wanasema ukweli kabisa, kuhusu wapi walipo lakini bado wanatapeliwa kwa binti kujifanya ametulia kupita kiasi na ana adabu tele kumbe ni kiruka njia tu.

Mkuu,

Labda wengine tumepitwa na wakati. Sipati jawabu kwa nini mtu amtafute mwenza online. Kwani walio "in line" au kwenye kwenye macho yake hawaoni? Hapa kuna udhaifu fulani watu wa namna hii wanajaribu kuuficha. Kama mtu anakitu anachokificha basi lazima atasema uongo tu! Hakuna kitu cha bei nafuu. Kwa hiyo ni poa tu wakidanyana kwa sababu wote wanatafuta njia ya mkato!

Lakini, kwa maoni yangu (tupende tusipende), pesa kwenye mapenzi ni kitu cha lazima. Suala la msingi ni kujaribu kuangalia matamanio yako na jinsi ya kuyatimiza katika mahusiano bila kusababisha usumbufu kwa mwenzio.
 
Na wa kaka hivo hivyo.

Hata hapa JF atakuuliza hivi upo wapi Dada, ukisema ukweli kwamba Upo Tanzania Shinyanga, ndo utakuwa umeua mawasiliano Hupati tena cha PM, thanks wala nini. Ila ukisema upo nje ya nchi hasa US na Europe hapo kitaeleweka, na kwa Tanzania at leaaaaaaast Dar, nje ya Dar forget it.

So its not abt Wadada peke yao, na Wakaka mna/wana tatizo hilo.

Kabla sijasahau....Happy New year 2010.

eeh mpaka thnx...shughuli ipo.
 
Haya mambo ya chat room hayafai, na huwezi kupata mwenza online. Niliwahi kuwa na friend wa kike niliyekuwa nachati naye online, siku moja akaniuliza nipo pande gani za dunia, nikamwambia nipo Sumbawanga na siku hiyo ikawa ya mwisho kuchat naye.
 
Back
Top Bottom