Akina Dada Single Tuoneane Huruma

Akina Dada Single Tuoneane Huruma

Wana JF,,sitaeleza kwa undani lakini hii ofisi hapa mjini Dar ina wadada wazuri na hatari sana kwa wanandoa!!
Akinadada ambao hamjaolewa maofisini hebu mtuonee huruma sisi waume za watu,,yaani pamoja na kuvaa pete hadharani, kumtaja na kumsifia mke wangu mbele zenu bado tu mnatutaka na kutuchokoza,,jamani muwaonee huruma wanawake wenzenu,,Yaani mmezidi sana kujishebedua kwa waume za watu…..balaa tukisafiri mikoniani kikazi,,,utatamani kulala hotel ya mbali,,,manake hachelewi kuja room kwako kavaa kimitego na kupiga story mpaka saa sita usiku,siku hiyo asipokuja room atataka mchati kwenye simu na kutumiana picha za ajabu ajabu.Kuna jamaa yangu hapa ofisini alimwazima mdada laki moja,,na alikuwa arudishiwe mwisho wa mwezi,,,miezi miwili sasa imepita,,badala ya kurudisha hela ya mme wa mtu anabaki kuleta zawadi za chocolate tu mezani kwa jamaa,,,plz wanadada mwanaume anapo vaa pete bila kificho na kuweka wazi kuwa anampenda mke wake that is a sign that u should stay away,,no sexual relationship….mtu unakuwa friendly lkn wadada wanatafisiri kuwa unataka sexual relationship,,saa zingine eti anasema wewe huna jeuri ya kunikataa mimi,,unanijunga tu.Nina jamaa yangu mwingine ye ndo kakubali yaishe tu,,,,,anakichapa kidada kimoja kimeajiriwa juzijuzi mpaka utadhani mke wake,,lunch pamoja,,usafiri mmoja,,kikazi wanasafiri wote.Yaani ni aibu na inakera sana,,,,,Plz mtuonee huruma akina dada, mioyo yetu sio ya chuma jamani.
Nimeamua kuwasemea wanaume wenzangu ambao tunapata shida hii.
View attachment 124041

mdau unanikumbusha jamaa ambaye alikuja hapa mwez huuhuu akawa analalamika kuna mdada ofisini anamtega,ila alieleza kuwa mwanzo walikua wanaenda wote kula,mara kabla ya kuondoka wanabusiana,na blah blah kadhaa,na ww umekuja na the same stori lakini,ww kama mwanaume uliye kwenye ndoa why hujipangi???why huna msimamo???hili suala lipo ndani ya uwezo wako mdau,usiwalaum akina dada hao
 
Kaka hilo sio jaribu hata...

Tuseme nini sisi madaktari tunaoona nyuchi za wamama za kila aina....??? Tena si kuona tu bali tunazishikashika na kuzipekua kama tunafukua magimbi vile...

Sasa wewe unayeishia kuona juu ya nguo tu...ukipewa hii kazi si tutakupoteza

Nakushukuru daddy kwa kumpa somo mtoa mada!!!
 
Mkuu u have no idea majaribu ya kina dada yakoje,,tena mdada mzuri atiii,,,,mshukuru Mungu yamekupitia mbali.

mzuri ni mkeo mdau,,,hehehehe,kama hujajua kua mzuri ni mkeo ua risk husband
 
Last edited by a moderator:
Wana JF,,sitaeleza kwa
undani lakini hii ofisi hapa mjini Dar ina wadada wazuri na hatari sana
kwa wanandoa!!
Akinadada ambao hamjaolewa maofisini hebu mtuonee huruma sisi waume za
watu,,yaani pamoja na kuvaa pete hadharani, kumtaja na kumsifia mke
wangu mbele zenu bado tu mnatutaka na kutuchokoza,,jamani muwaonee
huruma wanawake wenzenu,,Yaani mmezidi sana kujishebedua kwa waume za
watu…..balaa tukisafiri mikoniani kikazi,,,utatamani kulala hotel ya
mbali,,,manake hachelewi kuja room kwako kavaa kimitego na kupiga story
mpaka saa sita usiku,siku hiyo asipokuja room atataka mchati kwenye simu
na kutumiana picha za ajabu ajabu.Kuna jamaa yangu hapa ofisini
alimwazima mdada laki moja,,na alikuwa arudishiwe mwisho wa
mwezi,,,miezi miwili sasa imepita,,badala ya kurudisha hela ya mme wa
mtu anabaki kuleta zawadi za chocolate tu mezani kwa jamaa,,,plz
wanadada mwanaume anapo vaa pete bila kificho na kuweka wazi kuwa
anampenda mke wake that is a sign that u should stay away,,no sexual
relationship….mtu unakuwa friendly lkn wadada wanatafisiri kuwa unataka
sexual relationship,,saa zingine eti anasema wewe huna jeuri ya
kunikataa mimi,,unanijunga tu.Nina jamaa yangu mwingine ye ndo kakubali
yaishe tu,,,,,anakichapa kidada kimoja kimeajiriwa juzijuzi mpaka
utadhani mke wake,,lunch pamoja,,usafiri mmoja,,kikazi wanasafiri
wote.Yaani ni aibu na inakera sana,,,,,Plz mtuonee huruma akina dada,
mioyo yetu sio ya chuma jamani.
Nimeamua kuwasemea wanaume wenzangu ambao tunapata shida hii.
View attachment 124041

sasa uyo dada kwenye picha ndo anaekupa shida?ama sijaelewa
 
Wakuu naona kuna watu hapa wanajifanya wao ni malaika,,anyway mi sikubahatika kuumbwa hivyo ila ninachosema ofisini hakutakiwi kuwa ni sehemu hatarishi au yenye vishawishi vya ngono,,,kama mimi nimeamua kuwa friendly but professional why not you.....?mimi ninapokuheshimu why not you?kuna vitu as a reasonable person lazima ujue sio sahihi kumfanyia mwenzioa,,hasa hasa kumtia vishawishi,,ndo maana maofisini kuna dress code kuzuia mihemuko,,lakini tabia za kujitongezesha hakuna ambaye ameziwekea sheria.....kuingia chumbani kwangu tena bila kujali muda sio busara,,na sio mpaka ufukuzwe ndo ujue huyu jamaa hataki.
 
Huwa ninawaona walio uchi kila siku...

Umeshagundua kuwa mwanamke anavaa kihasara ili akutege, hiyo tayari ni advantage kuwa utaishinda tamaa.

Ni ukweli kuwa huwezi kumpangia mtu namna ya kuvaa, ila jambo lililopo kwenye uwezo wako ni kuwapuuzia hao mahayawani.



We mjamaa unasema tu kama vile ukimwona msichana half naked huhisi chochote ee?
Kwa sababu jamaa analalamikia vishawishi, tumeambiwa tuikimbie zinaaa. It is dangerous if it keeps coming at u. Ndo maana jamaa anajihami
 
hahaha watu8 hapo kwenye kuzishka na kuzichezea papuchi za wanawake ndio huwa pananisababisha natamani madaktari wote wahasiwe

Hahaha...mwanaume akihasiwa bado anakuwa na uwezo wa kudindisha isipokuwa hazalishi tu.
 
Last edited by a moderator:
Mbona na sisi wanaotusimamisha na kututongoza ni hao hao wanaovaa pete?
Halafu unasema uonewe huruma kwani unashikwa kwa nguvu? Pete pia is not a justification to ur conducts Mbona hata Kapuya anavaa.
 
Kaka hilo sio jaribu hata...

Tuseme nini sisi madaktari tunaoona nyuchi za wamama za kila aina....??? Tena si kuona tu bali tunazishikashika na kuzipekua kama tunafukua magimbi vile...

Sasa wewe unayeishia kuona juu ya nguo tu...ukipewa hii kazi si tutakupoteza
:smile-big: ha ha ha
 
Mwanamke anaingia kwa room yako!!!!!!!!!!!?
Amevaa kimitego!!!!!!!?
ana kaa mpaka saa 6 usiku!!!!!!!?
Halafu anaondoko kwendo kwa room yake!!!!!!!?
Hii ngumu kumesa, kesho ana haki ya kuniita nyau
 
Kaka hilo sio jaribu hata...

Tuseme nini sisi madaktari tunaoona nyuchi za wamama za kila aina....??? Tena si kuona tu bali tunazishikashika na kuzipekua kama tunafukua magimbi vile...

Sasa wewe unayeishia kuona juu ya nguo tu...ukipewa hii kazi si tutakupoteza

Jamani labda mwenzenu ni mdhaifu hawezi vumilia dady watu8 kila mtu na ujasiri wake wa kujiheshimu lakini anachozungumzia ni kweli
si unajua baadhi ya wadada maofisini nguo wanazovaa? hatari sana mkuu yaani nouma vibaya mno.
 
Last edited by a moderator:
We bwana weee hebu acheni porojo...mbona ndugu wa kike akivaa hivyo huwa unajizuia kumtamani.

Dawa yao hao wadada ni kuwalia ganzi tu wajione kama mbuzi wa kisusio anayesubiri bisu kutenganisha koromeo lake...

Jamani labda mwenzenu ni mdhaifu hawezi vumilia dady watu8 kila mtu na ujasiri wake wa kujiheshimu lakini anachozungumzia ni kweli
si unajua baadhi ya wadada maofisini nguo wanazovaa? hatari sana mkuu yaani nouma vibaya mno.
 
Last edited by a moderator:
Definition ya sexual harassment ni hii wakubwa,,,,,unwanted conduct of a sexual nature, or other conduct based on sex affecting the dignity of women and men at work. This includes unwelcome physical, verbal or nonverbal conduct.Hii ndo shida wakuu.
 
Kwanini usianze wewe kujionea huruma?
 
Back
Top Bottom