Akina Dada Single Tuoneane Huruma

Akina Dada Single Tuoneane Huruma

fanya hivi na funguo umwachie mkeo
images

Hahahaa haaaa uwiii nimecheka
Chezea tyta ww
 
Kaka mkubwa naona wazidi kunishangaza tu...

You don't get to decide kipi muhimu once professional ethics are concerned.

Hakuna ujumbe wowote zaidi ya kujishebedua tu kwamba wewe daktari.

Wakati hata ethics za udaktari huzijui/huzifuatilii.Noblesse Oblige. With privilege comes responsibility.

You are flashing your privilege irresponsibly. Huelewi uzito wake. No wonder madaktari wanapoteza heshima siku hizi.

Daktari mwenye nia ya kufikisha ujumbe hajazuiwa kufikisha ujumbe bila kudhalilisha wagonjwa wake.

Kulikuwa na ulazima gani wa kutumia lugha ya udhalilishaji vile?

Frankly I find it hard to believe that you are an actual doctor.

But then again with all the newly fangled doctors describing their patients anatomy and ailments for the amusement of fellow beer drinkers at bars, who knows, you might very well be of that ilk.
 
Mimi nafikiri itaenda baadae ukiwaona itakuwa kawaida, kuna wakati niliishi Nigeria yaani wadada hawajui kujisitiri kabisa, kwanza wanavaa nguo fupi kisha hawajui kukaa kistaarabu yaani dada anajiachia unaona kila kitu na wala hastuki.

Mara ya kwanza nilipata tabu lakini baada ya muda nikaona kawaida. Hata wanaume wa huku wengi wao wala hawastuki, mara ya kwanza nikajiuliza hawa wanaume vp? kumbe ni mazoea tu
 
Kimbia zinaa; jikinge kwa damu ya Yesu...kuna binadamu ni watume wa shetani...
Na wamama mlio kwenye ndoa msali na kuwaombea waume zenu...alichoandika huyu watu wanambeza lakini ndio ukweli ulivyo kwenye ofisi nyingi; hasa zenye machanganyiko wa watu wenye vipato tofauti...

kuna wanaotaka wanaume for the sake of it (wamejikatia tamaa ya kuwa na wao binafsi) na kuna wanaotaka meal allowances...mishahara haitoshi.
 
kama kweli una malengo na nia ya kujilinda na hao masistaduu.. weka mipaka thabiti kati yako na wao.

jinsi unavyojiweka ndio unavyotengeneza mazingira ya kutegwa... hayo yakufatana vyumbani inahuuu???
 
we bwana weee...hebu acha kujitetea kizembe.

kwani unashikiwa mtutu wa bunduki, wanafanya hivyo kwa sababu wanajua kuna watu kama nyie wenye uchu hamtaacha kuchombeza.

Kumbe umeona eeh
 
Kaka hilo sio jaribu hata...

Tuseme nini sisi madaktari tunaoona nyuchi za wamama za kila aina....??? Tena si kuona tu bali tunazishikashika na kuzipekua kama tunafukua magimbi vile...

Sasa wewe unayeishia kuona juu ya nguo tu...ukipewa hii kazi si tutakupoteza

Aisee....
 
we bwana weee...hebu acha kujitetea kizembe.

kwani unashikiwa mtutu wa bunduki, wanafanya hivyo kwa sababu wanajua kuna watu kama nyie wenye uchu hamtaacha kuchombeza.

shem watu8...hujawahi kukutana na wale wa ile benki karibu na Said Mwema!??

huwa nkiwaona nawaza jinsi ambavyo wanaishi humo ofisini.... #balaa
 
Last edited by a moderator:
You don't get to decide kipi muhimu once professional ethics are concerned.

Hakuna ujumbe wowote zaidi ya kujishebedua tu kwamba wewe daktari.

Wakati hata ethics za udaktari huzijui/huzifuatilii.Noblesse Oblige. With privilege comes responsibility.

You are flashing your privilege irresponsibly. Huelewi uzito wake. No wonder madaktari wanapoteza heshima siku hizi.

Daktari mwenye nia ya kufikisha ujumbe hajazuiwa kufikisha ujumbe bila kudhalilisha wagonjwa wake.

Kulikuwa na ulazima gani wa kutumia lugha ya udhalilishaji vile?

Frankly I find it hard to believe that you are an actual doctor.

But then again with all the newly fangled doctors describing their patients anatomy and ailments for the amusement of fellow beer drinkers at bars, who knows, you might very well be of that ilk.
Siyo doctor ni mhudumu wa Afya
 
shem watu8...hujawahi kukutana na wale wa ile benki karibu na Said Mwema!??

huwa nkiwaona nawaza jinsi ambavyo wanaishi humo ofisini.... #balaa

Wakati wa lunch time au ile mida ya kutoka kazini huwa kuna kashikashi pale...

Ila sisi wengine kaka huwa hatuhusudu sana hizo mambo, yanaingia upande huu yanatokea upande wa pili...
 
Last edited by a moderator:
Mwanaume yoyote anaeshindwa kujijua na kujua majukumu yake kwa ndoa yake ni pamoja na kujiheshimu hafai kuitwa mume

Kujiheshimu ni pamoja na kutokufungua zipu hovyo kisa eti kuna mtu anakutega

Hivi nyie wanawake hamuangalii hata mtu wa kuwaoa?
 
mwanzo si mnaact kama wastaarabu....
 
Kaka mkubwa naona wazidi kunishangaza tu...

Lazima ushangae tu.

Kufakamia fani si mchezo.

Diligence is key.

Dignity not only to patients, but even the cadavers used for research and teaching.

Remember?

Or did you sleep through class?
 
Kwani ni sabuni ndo useme itaisha?
 
Back
Top Bottom