Akina Dada Single Tuoneane Huruma

Akina Dada Single Tuoneane Huruma

mkada

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2011
Posts
1,200
Reaction score
909
Wana JF,,sitaeleza kwa undani lakini hii ofisi hapa mjini Dar ina wadada wazuri na hatari sana kwa wanandoa!!
Akinadada ambao hamjaolewa maofisini hebu mtuonee huruma sisi waume za watu,,yaani pamoja na kuvaa pete hadharani, kumtaja na kumsifia mke wangu mbele zenu bado tu mnatutaka na kutuchokoza,,jamani muwaonee huruma wanawake wenzenu,,Yaani mmezidi sana kujishebedua kwa waume za watu…..balaa tukisafiri mikoniani kikazi,,,utatamani kulala hotel ya mbali,,,manake hachelewi kuja room kwako kavaa kimitego na kupiga story mpaka saa sita usiku,siku hiyo asipokuja room atataka mchati kwenye simu na kutumiana picha za ajabu ajabu.Kuna jamaa yangu hapa ofisini alimwazima mdada laki moja,,na alikuwa arudishiwe mwisho wa mwezi,,,miezi miwili sasa imepita,,badala ya kurudisha hela ya mme wa mtu anabaki kuleta zawadi za chocolate tu mezani kwa jamaa,,,plz wanadada mwanaume anapo vaa pete bila kificho na kuweka wazi kuwa anampenda mke wake that is a sign that u should stay away,,no sexual relationship….mtu unakuwa friendly lkn wadada wanatafisiri kuwa unataka sexual relationship,,saa zingine eti anasema wewe huna jeuri ya kunikataa mimi,,unanijunga tu.Nina jamaa yangu mwingine ye ndo kakubali yaishe tu,,,,,anakichapa kidada kimoja kimeajiriwa juzijuzi mpaka utadhani mke wake,,lunch pamoja,,usafiri mmoja,,kikazi wanasafiri wote.Yaani ni aibu na inakera sana,,,,,Plz mtuonee huruma akina dada, mioyo yetu sio ya chuma jamani.
Nimeamua kuwasemea wanaume wenzangu ambao tunapata shida hii.
Picture 279.jpg
 
^^
La muhimu ni msimamo,,epuka vishawishi navyo vitajifunza kukuepuka
^^
 
we bwana weee...hebu acha kujitetea kizembe.

kwani unashikiwa mtutu wa bunduki, wanafanya hivyo kwa sababu wanajua kuna watu kama nyie wenye uchu hamtaacha kuchombeza.
 
Mkuu u have no idea majaribu ya kina dada yakoje,,tena mdada mzuri atiii,,,,mshukuru Mungu yamekupitia mbali.

kwanini unawaentertain? jaribu kuweka mazingira ya kuheshimiwa.
 
Kaka hilo sio jaribu hata...

Tuseme nini sisi madaktari tunaoona nyuchi za wamama za kila aina....??? Tena si kuona tu bali tunazishikashika na kuzipekua kama tunafukua magimbi vile...

Sasa wewe unayeishia kuona juu ya nguo tu...ukipewa hii kazi si tutakupoteza

Mkuu u have no idea majaribu ya kina dada yakoje,,tena mdada mzuri atiii,,,,mshukuru Mungu yamekupitia mbali.
 
Upuuzi. Ataingiaje chumbani kwako bila ruhusa yako? Na kwa nini uwape namba yako ya sim wanawake?

Kua kama mkurya, tembea na siraha, watakuogopa.

Husiwe kama mpare, eti unamsifia dem ni nzuri na kumpa smile, anakufuata chumbani afu unakuja kulalamika jf.
 
Wana JF,,sitaeleza kwa undani lakini hii ofisi hapa mjini Dar ina wadada wazuri na hatari sana kwa wanandoa!!
Akinadada ambao hamjaolewa maofisini hebu mtuonee huruma sisi waume za watu,,yaani pamoja na kuvaa pete hadharani, kumtaja na kumsifia mke wangu mbele zenu bado tu mnatutaka na kutuchokoza,,jamani muwaonee huruma wanawake wenzenu,,Yaani mmezidi sana kujishebedua kwa waume za watu…..balaa tukisafiri mikoniani kikazi,,,utatamani kulala hotel ya mbali,,,manake hachelewi kuja room kwako kavaa kimitego na kupiga story mpaka saa sita usiku,siku hiyo asipokuja room atataka mchati kwenye simu na kutumiana picha za ajabu ajabu.Kuna jamaa yangu hapa ofisini alimwazima mdada laki moja,,na alikuwa arudishiwe mwisho wa mwezi,,,miezi miwili sasa imepita,,badala ya kurudisha hela ya mme wa mtu anabaki kuleta zawadi za chocolate tu mezani kwa jamaa,,,plz wanadada mwanaume anapo vaa pete bila kificho na kuweka wazi kuwa anampenda mke wake that is a sign that u should stay away,,no sexual relationship….mtu unakuwa friendly lkn wadada wanatafisiri kuwa unataka sexual relationship,,saa zingine eti anasema wewe huna jeuri ya kunikataa mimi,,unanijunga tu.Nina jamaa yangu mwingine ye ndo kakubali yaishe tu,,,,,anakichapa kidada kimoja kimeajiriwa juzijuzi mpaka utadhani mke wake,,lunch pamoja,,usafiri mmoja,,kikazi wanasafiri wote.Yaani ni aibu na inakera sana,,,,,Plz mtuonee huruma akina dada, mioyo yetu sio ya chuma jamani.
Nimeamua kuwasemea wanaume wenzangu ambao tunapata shida hii.
View attachment 124041

Acha kabisa!
 
we bwana weee...hebu acha kujitetea kizembe.

kwani unashikiwa mtutu wa bunduki, wanafanya hivyo kwa sababu wanajua kuna watu kama nyie wenye uchu hamtaacha kuchombeza.

We mjamaa unasema tu kama vile ukimwona msichana half naked huhisi chochote ee?
Kwa sababu jamaa analalamikia vishawishi, tumeambiwa tuikimbie zinaaa. It is dangerous if it keeps coming at u. Ndo maana jamaa anajihami
 
Wana JF,,sitaeleza kwa undani lakini hii ofisi hapa mjini Dar ina wadada wazuri na hatari sana kwa wanandoa!!
Akinadada ambao hamjaolewa maofisini hebu mtuonee huruma sisi waume za watu,,yaani pamoja na kuvaa pete hadharani, kumtaja na kumsifia mke wangu mbele zenu bado tu mnatutaka na kutuchokoza,,jamani muwaonee huruma wanawake wenzenu,,Yaani mmezidi sana kujishebedua kwa waume za watu…..balaa tukisafiri mikoniani kikazi,,,utatamani kulala hotel ya mbali,,,manake hachelewi kuja room kwako kavaa kimitego na kupiga story mpaka saa sita usiku,siku hiyo asipokuja room atataka mchati kwenye simu na kutumiana picha za ajabu ajabu.Kuna jamaa yangu hapa ofisini alimwazima mdada laki moja,,na alikuwa arudishiwe mwisho wa mwezi,,,miezi miwili sasa imepita,,badala ya kurudisha hela ya mme wa mtu anabaki kuleta zawadi za chocolate tu mezani kwa jamaa,,,plz wanadada mwanaume anapo vaa pete bila kificho na kuweka wazi kuwa anampenda mke wake that is a sign that u should stay away,,no sexual relationship….mtu unakuwa friendly lkn wadada wanatafisiri kuwa unataka sexual relationship,,saa zingine eti anasema wewe huna jeuri ya kunikataa mimi,,unanijunga tu.Nina jamaa yangu mwingine ye ndo kakubali yaishe tu,,,,,anakichapa kidada kimoja kimeajiriwa juzijuzi mpaka utadhani mke wake,,lunch pamoja,,usafiri mmoja,,kikazi wanasafiri wote.Yaani ni aibu na inakera sana,,,,,Plz mtuonee huruma akina dada, mioyo yetu sio ya chuma jamani.
Nimeamua kuwasemea wanaume wenzangu ambao tunapata shida hii.
View attachment 124041

Waambie wajilengeshe ofisini kwetu kila siku tunalalaimka wadada wetu hawalipi!!!!!
 
Usiikaribie zinaa kijana, kama kweli hupendi hizo habari ni vyema ukatangaza msimamo wako mbele ya hawa wanaokuwinda
 
Kujiendekeza tu, we ushajijua mume wamtu kwanini usijiheshimu? Jiheshimu uheshimike hakuna atakaekusumbua ila ukiwa macho juu tu, ujue umeumia! Mjini hapa!
 
Baby DEMBA naomba samare..apa.kuna nn?

Jamaa yenu hajui kusema No!!!!
Akiona kimini kimemkaa mdada mashaallah yeye suruali inambana,anaomba madada wa ofisini kwao(sijui hii ndio notice board ya ofisi yao) wamhurumie waanze kuvaa madera na mabaibui tu.
 
Usiikaribie zinaa kijana, kama kweli hupendi hizo habari ni vyema ukatangaza msimamo wako mbele ya hawa wanaokuwinda[/QUOTE]

Awindwe na nani huyo? Anajiwinda mwenyewe na kujiendekeza kwake! Watu wanaishi maisha yao yeye anaota anawindwa
 
hahaha watu8 hapo kwenye kuzishka na kuzichezea papuchi za wanawake ndio huwa pananisababisha natamani madaktari wote wahasiwe
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom