Diana-DaboDiff
JF-Expert Member
- Jul 13, 2009
- 376
- 19
Mkipewa bila longolongo mnalalamika mkizungushwa mnakata tamaa make up your mind guys!
Nakumbuka wakati wa zamani kidogo ilikuwa kazi sana kumtongoza msichana, yani ilibidi uwe umejiandaa sana kwanza kabisa kupata nafasi ya kukutana naye, pili kupata nguvu za kufunua mdomo ili umweleze maneno yaliyopo moyoni mwako (kumtongoza) na tatu kupata subira wakati unasubiri ujibiwe ombi lako la kufanya naye mapenzi. Process yote ilichukua si chini ya wiki mbili hadi miezi.
Wakinadada wa sasa naona kama vile hali imekuwa tofauti sana...yani kuna wakati siamini kuwa mtu anaonana na demu for the first time halafu namtongoza kisha wanafanya mapenzi within 3 hours za tokea walipokutana!!!!mbaya zaidi kuna wengine wanatongozwa hata kwa sms bila hata ya kuonana uso kwa uso hadi wanakubaliana kukutana na kufanya mapenzi!!
Sasa bado sijajua tatizo ni nini...ingawa kwetu sisi wanaume imeturahisishia kidogo lakini ikizidi inaondoa ile ladha ya kutongoza. Na siamini kuwa eti labda wanaume wa sasa wamejaaliwa seducing power kuliko wa zamani, sasa je tatizo (kwa wanaume nimesema si tatizo) ni nini hasa dada zangu???

and not what pleases me?....missing you bhtvery complicated creatures, men!!! mi ndo maana I will do what pleases me and wat I feel is right!!!
kwahiyo bado ni 4 years to come......duuuh hii kali sasa, miaka 6? wengine mwaka wa 2 huu tumeisha choka na kugaragazwa kama timu ya Argentina vs Germany in 2010 WCKuna jamaa namfahamu kamfukuzia demu on and off kwa miaka sita mpaka kafanikiwa mwaka huu,kuna watu wana roho ngumu aisee.
ooh so its a game you enjoy playing huh??? no wonder mkipata mlichokuwa mnafukuzia hata vumbi lenu huwa halionekani!!!
and not what pleases me?....missing you bht
Nakumbuka wakati wa zamani kidogo ilikuwa kazi sana kumtongoza msichana, yani ilibidi uwe umejiandaa sana kwanza kabisa kupata nafasi ya kukutana naye, pili kupata nguvu za kufunua mdomo ili umweleze maneno yaliyopo moyoni mwako (kumtongoza) na tatu kupata subira wakati unasubiri ujibiwe ombi lako la kufanya naye mapenzi. Process yote ilichukua si chini ya wiki mbili hadi miezi.
Wakinadada wa sasa naona kama vile hali imekuwa tofauti sana...yani kuna wakati siamini kuwa mtu anaonana na demu for the first time halafu namtongoza kisha wanafanya mapenzi within 3 hours za tokea walipokutana!!!!mbaya zaidi kuna wengine wanatongozwa hata kwa sms bila hata ya kuonana uso kwa uso hadi wanakubaliana kukutana na kufanya mapenzi!!
Sasa bado sijajua tatizo ni nini...ingawa kwetu sisi wanaume imeturahisishia kidogo lakini ikizidi inaondoa ile ladha ya kutongoza. Na siamini kuwa eti labda wanaume wa sasa wamejaaliwa seducing power kuliko wa zamani, sasa je tatizo (kwa wanaume nimesema si tatizo) ni nini hasa dada zangu???
Hahaha! huyu aliefukuzia miaka sita alipopata unafikiri alionekana tena mitaa ile,watu walidhani muoaji kumbe walewale.
hao ndio wanaitwa VICHECHE.................
na wewe mwanaume unayetiana na such mwanamke unaitwaje??? nguchiro????
msitake kutubebesha mizigo wanawake ilhali game tunacheza wote!!! kama unataka kuzungushwa basi punguza makali ya kutongoza..........do it bit by bit!!! usimwage sera zote siku moja!!!
DDD, mi sioni la msingi hapa, whether utongozwe na kukubali in twinkling of an eye or jamaa afukuzie weeeee fory year, what matters in the end ni je hayo mapenzi ni ya dhati au ndo kutaka kuonja/umkomoe kwa kukuzungusha na kisha ukipe fasta?????????????
samahani kama nimekukwaza,ila mwanamke atongozwe na kulalwa within 3hrs ni KICHECHE.....mwanaume ni KIWEMBE....:A S tongue:
Wenye mapenzi ya dhati wachache sana kuna ule msemo 'a lady has to kiss a lot of frogs before meeting her prince charming'.
na wewe mwanaume unayetiana na such mwanamke unaitwaje??? nguchiro????
msitake kutubebesha mizigo wanawake ilhali game tunacheza wote!!! kama unataka kuzungushwa basi punguza makali ya kutongoza..........do it bit by bit!!! usimwage sera zote siku moja!!!
Hahaha! huyu aliefukuzia miaka sita alipopata unafikiri alionekana tena mitaa ile,watu walidhani muoaji kumbe walewale.
Truthfuly speaking, sisi wanaume unapotukubalia kirahisi tunakuchukulia kirahisi vile vile....kwaiyo kama unataka tukuchukulie serious inabidi utuzungushe kidogo sio sanaaaaaaa!!