Akina dada siku hizi mmekuaje???

Nakumbuka wakati wa zamani kidogo ilikuwa kazi sana kumtongoza msichana, yani ilibidi uwe umejiandaa sana kwanza kabisa kupata nafasi ya kukutana naye, pili kupata nguvu za kufunua mdomo ili umweleze maneno yaliyopo moyoni mwako (kumtongoza) na tatu kupata subira wakati unasubiri ujibiwe ombi lako la kufanya naye mapenzi. Process yote ilichukua si chini ya wiki mbili hadi miezi.
Wakinadada wa sasa naona kama vile hali imekuwa tofauti sana...yani kuna wakati siamini kuwa mtu anaonana na demu for the first time halafu namtongoza kisha wanafanya mapenzi within 3 hours za tokea walipokutana!!!!mbaya zaidi kuna wengine wanatongozwa hata kwa sms bila hata ya kuonana uso kwa uso hadi wanakubaliana kukutana na kufanya mapenzi!!
Sasa bado sijajua tatizo ni nini...ingawa kwetu sisi wanaume imeturahisishia kidogo lakini ikizidi inaondoa ile ladha ya kutongoza. Na siamini kuwa eti labda wanaume wa sasa wamejaaliwa seducing power kuliko wa zamani, sasa je tatizo (kwa wanaume nimesema si tatizo) ni nini hasa dada zangu???

hahahhahahahahahhahahaha mkuu naona sasa mgongano wa mawazo, si na mimi bali na Mr X.....ni mjadala uliochukuwa masaa, na hakuna alieshinda....points zilizotolewa ni
1. Most are used....kwahiyo wazowefu, wala hawaogopi.....absence of virgin
2. Money oriented
3. Mapepo ya ngono & Shetani kawatawala
4. ...

On the other hand
1. Mawasiliano ya sasa ni rahisi, mnakutana kwa njia nyingi si mpaka siku ya sikukuu, msiba etc
2. Kuufurahisha mwili....mapenzi starehe, so do it hata 30 to 31 times per month
3......

Mimi wala sikuchangia maana nimeanza kutongoza mwaka 2003....ilinichukuwa 2 days to be accepted BUT to "eat her" ilinichukuwa more than 3 months.....Next kutongoza was 2008, July....mpaka kesho sijampata.....sasa nikichangia nitasema je kwamba the rate of accepting per time ina ongezeka au........Mimi nasema (leo)...inategemeana na msichana, mazowea na msichana, mazingira...sasa unamtongoza huyo rafiki yako wa miaka anaekufahamu, atasemaje....ila ukienda zako bar, on the way ukakutana nae ukamtongoza akakubali then :pound:
 
Kuna jamaa namfahamu kamfukuzia demu on and off kwa miaka sita mpaka kafanikiwa mwaka huu,kuna watu wana roho ngumu aisee.
 
kwahiyo bado ni 4 years to come......duuuh hii kali sasa, miaka 6? wengine mwaka wa 2 huu tumeisha choka na kugaragazwa kama timu ya Argentina vs Germany in 2010 WC
 
ooh so its a game you enjoy playing huh??? no wonder mkipata mlichokuwa mnafukuzia hata vumbi lenu huwa halionekani!!!

Hahaha! huyu aliefukuzia miaka sita alipopata unafikiri alionekana tena mitaa ile,watu walidhani muoaji kumbe walewale.
 
and not what pleases me?....missing you bht

definately shemeji!!!! maana hamueleweki mnageuka geuka kama kinyonga vile sasa ya nini nijipe shida kuaka kuakisi au kusharabu haya mabadiliko?
mwisho wa siku naanza kuneng'eneka na ghafla unabutuliwa!!!

mis u too!! hw r u keeping up??? endelea ku-enjoy hiyo game ya kuzungushwa, apparently u wanaume love it!
 
Nakumbuka wakati wa zamani kidogo ilikuwa kazi sana kumtongoza msichana, yani ilibidi uwe umejiandaa sana kwanza kabisa kupata nafasi ya kukutana naye, pili kupata nguvu za kufunua mdomo ili umweleze maneno yaliyopo moyoni mwako (kumtongoza) na tatu kupata subira wakati unasubiri ujibiwe ombi lako la kufanya naye mapenzi. Process yote ilichukua si chini ya wiki mbili hadi miezi.
Wakinadada wa sasa naona kama vile hali imekuwa tofauti sana...yani kuna wakati siamini kuwa mtu anaonana na demu for the first time halafu namtongoza kisha wanafanya mapenzi within 3 hours za tokea walipokutana!!!!mbaya zaidi kuna wengine wanatongozwa hata kwa sms bila hata ya kuonana uso kwa uso hadi wanakubaliana kukutana na kufanya mapenzi!!
Sasa bado sijajua tatizo ni nini...ingawa kwetu sisi wanaume imeturahisishia kidogo lakini ikizidi inaondoa ile ladha ya kutongoza. Na siamini kuwa eti labda wanaume wa sasa wamejaaliwa seducing power kuliko wa zamani, sasa je tatizo (kwa wanaume nimesema si tatizo) ni nini hasa dada zangu???

hao ndio wanaitwa VICHECHE.................
 
Hahaha! huyu aliefukuzia miaka sita alipopata unafikiri alionekana tena mitaa ile,watu walidhani muoaji kumbe walewale.

DDD, mi sioni la msingi hapa, whether utongozwe na kukubali in twinkling of an eye or jamaa afukuzie weeeee fory year, what matters in the end ni je hayo mapenzi ni ya dhati au ndo kutaka kuonja/umkomoe kwa kukuzungusha na kisha ukipe fasta?????????????
 
Maisha yamekuwa mafupi sana hivyo anaona akimzungusha inawezekana kesho asiwepo,mawazo yangu hayo
 
hao ndio wanaitwa VICHECHE.................

na wewe mwanaume unayetiana na such mwanamke unaitwaje??? nguchiro????

msitake kutubebesha mizigo wanawake ilhali game tunacheza wote!!! kama unataka kuzungushwa basi punguza makali ya kutongoza..........do it bit by bit!!! usimwage sera zote siku moja!!!
 
samahani kama nimekukwaza,ila mwanamke atongozwe na kulalwa within 3hrs ni KICHECHE.....mwanaume ni KIWEMBE....:A S tongue:
 
DDD, mi sioni la msingi hapa, whether utongozwe na kukubali in twinkling of an eye or jamaa afukuzie weeeee fory year, what matters in the end ni je hayo mapenzi ni ya dhati au ndo kutaka kuonja/umkomoe kwa kukuzungusha na kisha ukipe fasta?????????????

Wenye mapenzi ya dhati wachache sana kuna ule msemo 'a lady has to kiss a lot of frogs before meeting her prince charming'.
 
samahani kama nimekukwaza,ila mwanamke atongozwe na kulalwa within 3hrs ni KICHECHE.....mwanaume ni KIWEMBE....:A S tongue:

hapo umenitolea kikwazo.........yaani kosa tutende wote iweje mie ndo npachikwe jina??? yale yale mwanamke akikamatwa anazini apigwe mawe mpaka afe........wat happens to yule walofanya naye matusi???

Kiongozi hapo tupo sawa sasa!!!
 
Wenye mapenzi ya dhati wachache sana kuna ule msemo 'a lady has to kiss a lot of frogs before meeting her prince charming'.

aaaaaaah unaweza kufikia wakati ukaamua tu basi bana to hell with all this..............lakini madhara ya kuumizwa umizwa bana mabaya sana u may end up rejecting the right guy who knows!!!!!!!!!
 
na wewe mwanaume unayetiana na such mwanamke unaitwaje??? nguchiro????

msitake kutubebesha mizigo wanawake ilhali game tunacheza wote!!! kama unataka kuzungushwa basi punguza makali ya kutongoza..........do it bit by bit!!! usimwage sera zote siku moja!!!

hahahaha,
 
Hahaha! huyu aliefukuzia miaka sita alipopata unafikiri alionekana tena mitaa ile,watu walidhani muoaji kumbe walewale.

Labda kidume kilidhani kilipokuwakinazungushwa kitakuta kitu chini safi akakuta kitu very used ikimaanisha kuwa wengine hawazungushwi na huyo mdada ikabidi asepe!!!
Truthfuly speaking, sisi wanaume unapotukubalia kirahisi tunakuchukulia kirahisi vile vile....kwaiyo kama unataka tukuchukulie serious inabidi utuzungushe kidogo sio sanaaaaaaa!!
 
Kuna jamaa ameniambia kuwa eti movies na songs za nje ndo zimewaharibu dada zetu....eti movie inaonyesha jamaa kakutana na demu club wakapendana then wakaishi happily thereafter!!Ktk movies na songs inabidi wafupishe story la sivyo movie itachukua siku nzima kuitazama. True love is never true at all!!!
 
Truthfuly speaking, sisi wanaume unapotukubalia kirahisi tunakuchukulia kirahisi vile vile....kwaiyo kama unataka tukuchukulie serious inabidi utuzungushe kidogo sio sanaaaaaaa!!

Faza, hapo jiongelee mwenyewe bana....mimi sipendi kuzungushwa zungushwa. Napenda kieleweke mapema na haraka iwezekanavyo laa sivyo siuweki usiku.

Na hakuna guarantee yoyote ile kuwa eti ukizungushwa zungushwa ndio utatia nanga. Unaweza ukazungushwa zungushwa weee halafu siku ukija kupewa unaanza kujiuliza...what the fak? Yaani hiki ndo nilichokuwa nazungushiwa hivyo.....it wasn't worth every single solitary second of it....halafu huyo unakitoa.

Kwa hiyo mi napenda kieleweke mapema kabisa ili nijue kama nita stick around or if I'll just hit it and quit it....after all, who got time to waste? Not I
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom