Akina dada piteni hapa hii inawahusu

Akina dada piteni hapa hii inawahusu

Ha ha ha ha. Ila kwa sababu kwenye chama wapo watakao jiunga na ambao hawata jiunga.sasa waleeee watakao jiunga wamejpeleka danger zone wenyeweeee

ukiona hivyo washakubaliana na hali hawa hata wakiwa nazo hawajui matumizi
 
RABISHHHHHHHH! Hivi wewe usione tunawachuna kwa speed DID YOU EVER TAKE TIME TO PERUZ HISTORY OF A WOMAN.?
Hata tuwachune kiasi gani haitoshi kulipia damage tuliofanyiwa wanawake century n century. Fikiria wanawake hawahesabiwi zamani ila vitoto vya kiume vidogo ndo vinahesabiwa kama watu!? Mxiuuuuu! Mwanamke hana kauli, hana maamuzi hata aolewe na nani. Mwanamke haendi shule, hafanyi chochote anashinda jikoni tu!
DO YOU THINK WE WILL GIVE UP OUR LONG FOUGHT WITH BLOOD AND SWEAT CHANCE TO BREATH.? Hell no! IFIKE MAHALI WANAUME MUONE YATOSHA MABABU ZENU WALIFAIDI KWA NIABA ZENU!


Kwahiyo kuwachuna wanaume ni sehemu ya kupata haki zenu? Yaani wakati mwengine mnawachuna wanaume bila huruma hadi wanatoka damu! kweli nyie mademu noma.
 

hahaa!!c bora upate hata huyo wa
kukupa singlend na tai?? wengine tai hupati
na I PAD utanunua,usicheze na kipochi manyoya weweeee!!
 
Hivi inakuwaje mwanamke anasema anakupenda alafu anakupa; Singlendi akitegemea umpe Samsung galaxy, Tai akitegemea Wigi la kibrazil, Vifungo vya
shati akitegemea I PAD, Key holder akitegemea kokoko anakuja mikono mitupu akitegemea umpeleke Mlimani city kula kuku.

Alafu mnaongelea usawa sasa chama cha maboyfriend Tanzania (TBA -Tanzania Boyfriends Association) tumeamua... Singlendi kwa Sidilia, Boxer kwa bikin,, ukileta maua unapewa majani ya mwembe (kwanza vyote ni mazao ya mimea).

Tai kwa kamba kwa ajili ya kufungia vinywele vyake vya asili. Akija mikono mitupu then mnakaa mezani kupiga story (kula kwao)

Ukiwa na maimamo huo watoto wazuri utaishia kuita shemeji tu
 
Back
Top Bottom