miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,011
- 3,708
Teh teh teh daaaah
Ha ha ha ni shinda kwakweli wanakuja kulialia hapa wafanye kazi wapate hela
hahahahaha huyo ndo wale wale
RABISHHHHHHHH! Hivi wewe usione tunawachuna kwa speed DID YOU EVER TAKE TIME TO PERUZ HISTORY OF A WOMAN.?
Hata tuwachune kiasi gani haitoshi kulipia damage tuliofanyiwa wanawake century n century. Fikiria wanawake hawahesabiwi zamani ila vitoto vya kiume vidogo ndo vinahesabiwa kama watu!? Mxiuuuuu! Mwanamke hana kauli, hana maamuzi hata aolewe na nani. Mwanamke haendi shule, hafanyi chochote anashinda jikoni tu!
DO YOU THINK WE WILL GIVE UP OUR LONG FOUGHT WITH BLOOD AND SWEAT CHANCE TO BREATH.? Hell no! IFIKE MAHALI WANAUME MUONE YATOSHA MABABU ZENU WALIFAIDI KWA NIABA ZENU!
Yaaani kila kitu mnalalamika jamani....looooh
sasa itabid tuunde chama kiwe kinacompile haya malalamiko yetu
RABISHHHHHHHH! Hivi wewe usione tunawachuna kwa speed DID YOU EVER TAKE TIME TO PERUZ HISTORY OF A WOMAN.?
Hata tuwachune kiasi gani haitoshi kulipia damage tuliofanyiwa wanawake century n century. Fikiria wanawake hawahesabiwi zamani ila vitoto vya kiume vidogo ndo vinahesabiwa kama watu!? Mxiuuuuu! Mwanamke hana kauli, hana maamuzi hata aolewe na nani. Mwanamke haendi shule, hafanyi chochote anashinda jikoni tu!
DO YOU THINK WE WILL GIVE UP OUR LONG FOUGHT WITH BLOOD AND SWEAT CHANCE TO BREATH.? Hell no! IFIKE MAHALI WANAUME MUONE YATOSHA MABABU ZENU WALIFAIDI KWA NIABA ZENU!
hahahaaa usisahau kunialika kwenye anniversary yako ya miaka 10
Hahahaha Daaa nimecheka sana!yaani we hata kwenye uandishi tu unakua bahili ngumu unaandika "ngm" huko kwenye kuhonga utahonga kweli.
Naona kule uzi wetu umefutw loooh
kwani tunawashikia bastola,si mnazitoa wenyewe,tena saa zingine mnataka kujionyesha mnazo,eti baby hii simu haikufai kabisa ntakuletea nyiingine