Akina dada na sarawili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Akina dada na sarawili

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mopao Josee, Nov 26, 2009.

 1. Mopao Josee

  Mopao Josee JF-Expert Member

  #1
  Nov 26, 2009
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Napenda kutoa maoni yangu ili nipate na yenu tafadhali.
  Akina dada/mama wanapenda sana kuvaa suruali hata kama haziwapendezeshi kwa baadhi ila kwa wale ambao wamejaaliwa ni uhondo mtupu.
  Chunguza chunguza yangu nimegundua wengi wanavaa kuficha ubaya wa miguu yao mfano wale waliojichubua wanavaa kuondoa aibu.

  KAZI KWENU
   
 2. A

  August_Shao Senior Member

  #2
  Nov 30, 2009
  Joined: Nov 23, 2007
  Messages: 158
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  haina nafasi hapa hii topic
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Nov 30, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,322
  Likes Received: 22,148
  Trophy Points: 280
  ina nafasi wapi?
   
 4. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #4
  Nov 30, 2009
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,950
  Trophy Points: 280
  ahahaha..sasa chalii yangu shao...unadhani haya majungu ma-gossip na mafinyufinyu kama haya watu tuyapeleke wapi???...au unadhani jf kuwa home of great thinkers ndio hatu-think majungu kama haya...au na wewe miguu kimeo unaisitiri kwenye suruali???....

  hii kitu ni kweli kabsaaa...na ukikuta binti kajaaliwa nyonga na mgongo ndio usisieme..tutavaliwa jinz za kubana marali tutavaliwa linens na vibikini ilimradi midume tujue tuu mwenzetu anamiliki Weapons of Men distructions...Ni maoni tuu
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Nov 30, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Kawaida tu..Mbona wanaume nao wamekimbilia kutoga masikio na kuvaa maheleni!..Kuna thread moja humu inasema wanavaa hadi vikuku miguuni!...!
   
 6. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #6
  Nov 30, 2009
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160

  Haina nafasi kivipi bana wakati ni kweli!
   
 7. K

  Kinabo Member

  #7
  Dec 5, 2009
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 75
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Sarawali ni vazi kama lingine. Tunavaa ili tujisitiri,kujikinga na wadudu, baridi nk.
  Mawazo mengine ni mtazamo binafsi wa usongo wa akili elekezi katika njia isiyo sahihi.
   
 8. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #8
  Dec 5, 2009
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Binafsi sina tatizo na suruali kama vazi kwa akina dada/mama.Tatizo langu ni kwamba ni kama alivyosema mtoa mada kwamba baadhi zinawaharibia haiba yao kama wanawake. Kwa hiyo utaona kwamba kama lengo la kuvaa suruali ilikuwa kutoka chicha kama wanavyosema watoto wa mama lengo linakuwa limeanguka.

  Ushauri kwa wote Kinababa/mama tuwatumie partners wetu kama washauri wa mavazi kwani wakati unavaa mwenzio si ankuwepo? Bei gani kumuuliza hapo vipi? Akikwambia huo ni mpapure live then you change to goun or any compatible dress.

  Kama ni surali kwa kina dada kwa ajili ya kujikinga na baridi,wadudu kama alivyo changia dada hapa hii inakubalika kwakuwa NGUO ZA JESHI SIO LAZIMA ZIPENDEZE.
   
Loading...