Akina dada msijidanganye

i hate kuona vijana tunakimbilia mambo tusiyaweza ila tunataka kwa sababu ya jamii imesema its bad

miss chagga i hope hujamuelewa mgiriki!
Ikiwa unataka kuolewa punguza masharti! Kitendo cha wewe kufika miaka 30 bila ya kuolewa na hauna sababu ya msingi, ni kwamba mwenyewe unadosari!

I hope lugha aliyotumia ndio tatizo!
 
hongea nini bwana? kwani rafiki ulikuwa na nia ya kunioa? kwa kidogo naweza legeza?
Mh..hii proposal ngoja nimtafute Khantwe wewe sikuwezi, hizo level lazima uwe na surname ya DEWJ, Bakhera, ....sisi watoto wa akina dikembe tutaishia kutazama tu..
 
Last edited by a moderator:

pole sana mkuu naona umeongea kwa uchungu sana lakn mm nmebase sana kwa wale selective na wakat huo wao ndio wanakuwa wa kwanza kutaka wanaume....... Ila kama ww unawakosa kwa bahat mbaya nakupa pole na Mungu anaona na atakupa mume
 
miss chagga i hope hujamuelewa mgiriki!
Ikiwa unataka kuolewa punguza masharti! Kitendo cha wewe kufika miaka 30 bila ya kuolewa na hauna sababu ya msingi, ni kwamba mwenyewe unadosari!

I hope lugha aliyotumia ndio tatizo!

No ni mipango tu ya maisha.... vhunguza ndoa nyingi waliolewa wanamiaka 25.26 ni matatizo any way siataki kumwamini hata kidogo ... life is more than mariage
 
Sio kweli kwamba kufikisha miaka 30 mwanamke bila ndoa ni kwasababu ya kukosa mvuto, kuwa na tabia mbaya, kuwa na masharti magumu ya ndoa hapana, wapo wengi ninaowafahamu hawajaolewa na tabia zao ni nzuri, wana mvuto na wanahofu ya Mungu ila hajampata / hajatokea mume aliyepangiwa na Mungu na kutokuwa na Mume sio dhambi na kuolewa au kuoa sio kitu cha kulazimisha. Na kuna raha ya kuwa single pia, waulize walioolewa / waliooa kabla maisha yao yalikuwaje utapata kujua kama kuwa single kuana raha au hakuna.
 
Kama ndivyo, please withdraw your quote iliyobeba mashart magumu.. Au ndio unadumisha mila? chagga @ work

Sipo tayari kuwithdraw ila nataka baadhi ya mambo ni ya msingi mtu katika kujipanga kuingia kwenye pingu za maisha...
 

Kwa Haya maneno tu, nimekupenda tayari
 
wanataka mcha mungu kwasababu wanakuwa na hofu ya mungu ndani yao kwahiyo basi,ujinga na upuuzi mwingi wanakuwa hawafanyi...

miaka30 hujaolewa si alama ya kuwa na tabia chafu,kila mtu anakuwa na sababu zake,mind u, si kila mtu katika maisha anaweka kuolewa kama ndo kila kitu..halafu pia tambua 30 its just a number tu watu wanaolewa/kuoa hata na40...hapo umewakosea sana...maisha ya ndoa hayajapangiliwa miaka et mwenye 20 aoe au aolewa...
Umekuwa na mawazo yakindege sana mkuu kuoa au kuolewa sio kufata mkumbo...hao unaisema wazuri wako kwenye ndoa wengine wameshaachana dk2 zilizopita WAZURI WANAACHIKA?


usidanganye watu wewe kilichojema kinywani na moyoni kinabarikiwa....wacha watu waamue/wachague kile wanachokiona kwao kitasaidia na sio mtu kujipeleka peleka tu kisa et umri unaenda......
 

Well said hongera
 
mkuu inaonekana unataka kuongeza mke unaposema anataka mwanaume ambaye hajaoa, kakataa nini kuwa wa pili, sasa na kwanini unamfunua hivyo kama unamkomoa naona umeliongelea sana inaonekana mdada anakupa tu ila hataki ndoa, wewe ndio unayefanya makosa kutembea nje ya ndoa kama umeoa, muogope Mungu, kama muislam fanya ndoa kiulali, kama mkiristo acha hayo mambo ya mchepuko.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…