Kwa kujiheshimu na kukaa katika mpango unaotakiwa bila kuishi katika mawazo ya filamu na tamthilia huyo wakukuongoza yupo,na kwa asili mwanaume ameumbwa kumuongoza mwanamke,yaan haijalishi yupoje kimtazamo hiyo ndo misingi ya ulimwengu ilivyo..
ewaaa! Wakat unatafuta mwenye silaha nzito je ww una hadhi ya kulindwa na hyo silaha?
Kwann uchague kulindwa na siraha kubwa na ya msaada wakat uwezo wa adui ni mdogo?
Unaweza kujikuta hadhi yako ya kulindwa na finger tu halafu unajikweza na kutaka ulindwe na RPG hapo lazma udode tu piga ua
Hivi wanawake wa umri huo, wa design hii, makwenu hawapo?
Naichukua hii kama changamoto! kujitunza, kujiheshimu, kufanya kazi kwa bidii, ili niwe na hadhi ya kulindwa na RPG! Values alizonipa Mungu zinatakiwa kulindwa na Shujaa aliyeundwa na Mungu na si mgambo wa virungu!
Weweeeee acha kululetea ujima huuu! Hivi mimi na elimu yangu nikaolewe na Msukuma guta flani au muuza nyanya Buguruni kisa naogopa kutokuolewa? Hivi mimi nikajilipie mahari, nikajinunulie gauri la harusi na kumnunulia bwana harusi suti ili nionekane nimeolewa huku nafsi yangu inanisuta nimeoa mimi?????
Idadi ya waoaji kwa maana wanaume wanaojitambua ni wachache sana ukilinganisha na idadi ya wanawake wanaojitambua!
Sasa unaweza kuona sababu zinazopelekea tusiolewe kwa rate unayotaka wewe!
Ndoa si kuvaa shela na pete ni "commitments na responsibilities" ! Acha tuozee kwenye mahekalu yetu siyo kutulazimisha tuolewe na magarasa!
Maoni mengi ya wanawake humu hawataki wapate shida wakiolewa,hivi nyie wanawake na dadaz wa humu nani aliewaambia ndoa ni raha tu? Kwenu au kwako hampati shida na taabu?maisha yetu watz ni ya kawaida tu wote isipokuwa wachache sana,mboga ya jana tia maji itoshe na leo,maisha ya tia maji tiamaji.
Sasa mnaposema ndoa za sasa majanga kwani mnadhani wazazi wenu waliishi kwa raha sana? Hakuna shida wanazo ila kilichowafikishsa hapo walipo ni upendo,sasa nanyie ladies mnatakiwa muongozwe na upendo pamoja na uvumilivu tu.
Kwani ukiwa na hivo mnaweza kunywa hata uji na mkalala.
Ushauri tu.
akina dada jiheshimun, jitunzen wawekeeni zawadi waume zenu watarajiwa huwezi kupata mume mwema kama hujiheesahi hujitunzi.
Hekima upendo ni vitu mhim sana. Mtapendwa na mtaolewa
Inawezekana wewe ni mwanaume unayejitunza na kujiheshimu na mimi pia nikawa hivyo ivyo!
Problem inakuwa Mimi mwenye sifa hizo sina nafasi ya kukuchagua au kukuambia uniwowe! Hii ni tofauti yetu! So mi ni kama nyanya sokoni napigwa na jua weeee mpk mnunuzi aje kuninunua! Tena nyanya zipo nyingii weee zenye ubora unaofanana! Ni kumuomba Mungu hatuna ujanja!
umesoma lakini hujaelimika,nani kakwambia wanaume tunaoa elimu? Nani kakwambia elimu inatunza ndoa? Kama mawazo yako ni hayo ya kujigamba na elimu yako basi imekula kwako.
Utasubiri sanaaaaaaaaaaaaa! Wewe baada ya kuiangalia mwenye upendo na uvumilivu ynaangalia elimu poleeeeeeeee?
mbona mm nilitongozwa na mke wangu? Ukimpenda mwanaume na unamwona ni mstaarabu ww jitose tu. Jipendekeze
How is monile for every body: Leo nmeona niwape vipande vyao hawa akina dada kuanzia umri wa miaka 30 na kuendelea ambao bado hawajaolewa, utakuta mdada mtu mzma kabisa ana umri wa miaka zaidi ya 30 anatafuta wanaume wa kumuoa kwa kuweka mashart lukuki tena magumu.
Mara nataka mwanaume handsome,mcha Mungu, mwenye elim ya degree, awe ameajiliwa au anabiashara.
Nabaki kuwashangaa sana nyiyi viumbe, unataka mwanaume mcha Mungu je ww ni mcha mungu? Ungekuwa na tabia nzuri ungefikisha umri huo ukiwa nyumban?
Tambua kuwa kitendo cha kufikisha miaka 30 nyumban na huna mume maana yake tabia yako ni chafu hauna hadhi ya kuitwa mama mwenye nyumba au mke wa flan ila hadhi yako ni funuliwa funikwa. Unataka mwanaume handsome ww ni handsome?
Kitendo cha ww kuzeekea nyumban maana yake ww ni mbaya huna mvuto wa sura wala tabia ila utakuwa wa kumalizia haja tu kwa wapita njia.
Wazuri wote wapo kwenye ndoa zao. Utakuta mwingne alizalia nyumban halafu anakuja naye na sifa zake et nataka mwanaume mnyenyekevu na ambaye hajawai kuoa nyambaaafu ww umezalia nyumban halafu leo unataka mwanaume ambaye hajawahi kuoa for what?
Mm nawaambia msijidanganye hata kidogo, mkitaka masharti hayo mtaishia kufunuliwa tu mpaka akili ziwakae sawa.
KWAHERINI
Ahsante! Mimi si mwanaume na hivyo uchaguzi wa a life partner hauwezi kufanana na wako! Wewe unaangalia uvumilivu ili kupata atakaye suit your economy! To me nahitaji a responsible man atakaye provide security including financial stability!
Kwangu Elimu ni kigezo muhimu pia sababu nitaishi na mtu mwenye upeo wa mambo unaolingana! Isitoshe education inaongeza skills, and when skill is put to work, it creates wealthy, where there was poverty.
Sasa siwezi kuolewa tu na mwanaume yeyote tu ili kutimiza ndoto za mashabiki wa pembeni ambao hawataishi ndani ya ndoa na mimi! Sorry kama nimekukwaza!

Leomimi kwa kusema haya hutakuwa totauti na mtoa mada, kwa kuzingatia maelezo yako,hata hawa wa 30 walipita kwenye 20+ kama alichafua akiwa katika hiyo age unadhani akifika 30+ ndo atakuwa msafi? Uchafu na uvivu ni hulka ya mtu.Kama hakujua kupika kuanzia miaka 10+ unafikiri akifika kwenye hiyo 30 ndo atajua?Sifuti tatizo wanaume wa kibongo mmekrem maisha huo umri ndio hasa unapaswa ukimkuta uoe fasta hao wa 20s wamevurugwa kwisha kazi kwa sababu ya haraka zao fanya uchunguzi urudi hapa tena watoa tigo ndio wao wachepukaji ndio wao hawajui kupikia waume zao yani stress kibao hata mimi ningekuwa jinsia yako ningesubiri kidogo isee huo umri sio kabisa.
Sifuti tatizo wanaume wa kibongo mmekrem maisha huo umri ndio hasa unapaswa ukimkuta uoe fasta hao wa 20s wamevurugwa kwisha kazi kwa sababu ya haraka zao fanya uchunguzi urudi hapa tena watoa tigo ndio wao wachepukaji ndio wao hawajui kupikia waume zao yani stress kibao hata mimi ningekuwa jinsia yako ningesubiri kidogo isee huo umri sio kabisa.