pole wewe ambaye watafuta na umesumbuliwa mie nina mke wangu nawaombea ambao bado hawajapata ndoa siku mmoja watafanikiwa usijali jipe moyo nawe utapata wako ila sio kwa kumtukana dada yako. Heshimu kina dada.ww dogo usishushe lawama bure mm hapa sijantukana ntu mm nmeongelea upande wa selective sasa ww kama imekugusa kaa fikiria namna ya kujirekebisha
pole wewe ambaye watafuta na umesumbuliwa mie nina mke wangu nawaombea ambao bado hawajapata ndoa siku mmoja watafanikiwa usijali jipe moyo nawe utapata wako ila sio kwa kumtukana dada yako. Heshimu kina dada.
Weweeeee acha kululetea ujima huuu! Hivi mimi na elimu yangu nikaolewe na Msukuma guta flani au muuza nyanya Buguruni kisa naogopa kutokuolewa? Hivi mimi nikajilipie mahari, nikajinunulie gauri la harusi na kumnunulia bwana harusi suti ili nionekane nimeolewa huku nafsi yangu inanisuta nimeoa mimi?????
Idadi ya waoaji kwa maana wanaume wanaojitambua ni wachache sana ukilinganisha na idadi ya wanawake wanaojitambua!
Sasa unaweza kuona sababu zinazopelekea tusiolewe kwa rate unayotaka wewe!
Ndoa si kuvaa shela na pete ni "commitments na responsibilities" ! Acha tuozee kwenye mahekalu yetu siyo kutulazimisha tuolewe na magarasa!
umeona sasa msukuma sio ntu? Ww binti ww ngoja waje akna ngosha

Mkuu wanawake wana msongo wa mawazo humu,we mtu umri unasonga hakuna hata aliyetishia kukuoa mchezo,lazima mtu apagawe...na kuishi bila kuolewa huko NIKUDUMU siyo kuishi...
mbona na ww umeshindwa kutimiza mashart yaleee niliyokupa? Timiza kwanza yale niliyokupa halafu na mm natimiza l.k alaaaaaaaa
acha dharau sista, kwa hiyo wa kuolewa na "msukuma guta au muuza nyanya" buguruni ni nani kama sio nyinyi wadada? Kwanini huwa mnaangalia "status" ya mtu na si kumpenda mtu alivyo ? What a weakness!!!
Hahaaa soma vizuri siyo msukuma kwa maana ya tribe! Mkokota guta! Kwanza nawapenda sana wasukuma na ninaomba Mungu anipe mmoja anayejielewa! Nimeona wanavyotunza ndoa zao!
Kwa kujiheshimu na kukaa katika mpango unaotakiwa bila kuishi katika mawazo ya filamu na tamthilia huyo wakukuongoza yupo,na kwa asili mwanaume ameumbwa kumuongoza mwanamke,yaan haijalishi yupoje kimtazamo hiyo ndo misingi ya ulimwengu ilivyo..Stress ya kuolewa tunayo wala si uongo! Waoaji wenyewe wako wapi? Manake kama ndiyo ninyi mnaoleta arguments zilizo shallow kiasi hiki jamani halafu mna expect tuwakubali kirahisi kutumiliki na kutuongoza! Si tunajichimbia makaburi??? Yaani tuongozwe na "dhaifu"!
haahahha...kwikwikwikwi.......jamanieeee, mbavu zangu, huu uzi nauprint nikaubandike geto...dah. mgirik we acha , mimi nilimbiwa niende jim kwanza eti angalau niwe na tumisuli kidogo. Dah Mateso haya
Kwa taarifa yenu ninyi wanaume, sisi wanawake tunapenda kuolewa mno! Ni kitu tunachodream nafikiri kuliko hata ninyi! Ninyi mnawaza career zaidi akati sisi tunawaza career kidogo, kuolewa na kupendwa na kuwa protected! Tatizo letu tuko makini kutafuta mlinzi mwenye silaha kubwa ya kutulinda kuliko anayetumia ngumi peke yake! A potential man!
Bahati mbaya wenye silaha kubwa ni wachaxhe sana! Wenye ngumi ndiyo wengi akitokea jambazi atatuangamiza ! Mwenye ufahamu na atambue!
Hahahahaa benteke huachi kunichekesha nani tena uyo