Akina dada msijidanganye

Akina dada msijidanganye

Mgirik

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
13,258
Reaction score
13,367
How is monile for every body: Leo nmeona niwape vipande vyao hawa akina dada kuanzia umri wa miaka 30 na kuendelea ambao bado hawajaolewa, utakuta mdada mtu mzma kabisa ana umri wa miaka zaidi ya 30 anatafuta wanaume wa kumuoa kwa kuweka mashart lukuki tena magumu.

Mara nataka mwanaume handsome,mcha Mungu, mwenye elim ya degree, awe ameajiliwa au anabiashara.

Nabaki kuwashangaa sana nyiyi viumbe, unataka mwanaume mcha Mungu je ww ni mcha mungu? Ungekuwa na tabia nzuri ungefikisha umri huo ukiwa nyumban?

Tambua kuwa kitendo cha kufikisha miaka 30 nyumban na huna mume maana yake tabia yako ni chafu hauna hadhi ya kuitwa mama mwenye nyumba au mke wa flan ila hadhi yako ni funuliwa funikwa. Unataka mwanaume handsome ww ni handsome?

Kitendo cha ww kuzeekea nyumban maana yake ww ni mbaya huna mvuto wa sura wala tabia ila utakuwa wa kumalizia haja tu kwa wapita njia.

Wazuri wote wapo kwenye ndoa zao. Utakuta mwingne alizalia nyumban halafu anakuja naye na sifa zake et nataka mwanaume mnyenyekevu na ambaye hajawai kuoa nyambaaafu ww umezalia nyumban halafu leo unataka mwanaume ambaye hajawahi kuoa for what?

Mm nawaambia msijidanganye hata kidogo, mkitaka masharti hayo mtaishia kufunuliwa tu mpaka akili ziwakae sawa.

KWAHERINI
 
i concur. any lady worthy of being a wife by age thirty kashaolewa.... gud virteous ladies are rare but when spotted are quickly captured.
 
so unataka wawe zoa zoa yeyote twende kisa age inasoma 30 mmmmh hapana hata wakiwa wanafunuliwa papuchi ni yao au yako??? kikukeracho kipi mmengekuwa pacha mlioungana nisingeshangaa otherwise umevurugwa somewhere
 
so unataka wawe zoa zoa yeyote twende kisa age inasoma 30 mmmmh hapana hata wakiwa wanafunuliwa papuchi ni yao au yako??? kikukeracho kipi mmengekuwa pacha mlioungana nisingeshangaa otherwise umevurugwa somewhere

mmmmmmh! Muone
 
mh... Mgirik inaonesha moyoni una mengi ya kusema!!!
 
Last edited by a moderator:
Huu uzi kuna member flani piga ua ni lazma aje apingane na mwanzisha mada.
ngoja nimsubiri aje.
 
mmezidi kuwasema dada zetu jaman! yani kila leo ni mada kuhusu wadada wenye 30 halafu hawajaolewa! sio vizuri jaman huwezi kujua mtu kapitia changamoto gani had hajaolewa, na watu wengne wameolewa lakini maisha yao ni magumu maelezo hakuna wakati kuna wengine hawajaolewa lakini wanaendesha maisha yao vizuri! kuolewa sio kwamba ndio ndoto zako zimetimia au zitatimia.
 
bwana weeee, tupishege sie, kama umepewa mashart magumu kaa pembeni wataoa wenzio wakimit vigezo, lazima wewe, subiri atakayekuja bila masharti utaoa, kwani lazima sisi tu wenye masharti yetu.#

By the way am nt ur mom, sister , aunt, daughter or even a frend, so nikikaa home above 30 we inakukutaje labda, y ikukere moyo, huna yako ya kufanya
 
Haya masuala ya ndoa yanazidi kukatisha tamaa day after day. Ukiona wanawake vs wanaume wanavyofungukiana live bila chenga humu. Unawaza hivi hizo nyumba zitajakalika kweli?????????????
Oh Lord watch over us
 
bwana weeee, tupishege sie, kama umepewa mashart magumu kaa pembeni wataoa wenzio wakimit vigezo, lazima wewe, subiri atakayekuja bila masharti utaoa, kwani lazima sisi tu wenye masharti yetu.#

By the way am nt ur mom, sister , aunt, daughter or even a frend, so nikikaa home above 30 we inakukutaje labda, y ikukere moyo, huna yako ya kufanya

mkuu mbona povu? Hii ni sawa na kurusha jiwe gizan. Ukisikia wiiiiii! Uju target imetimia
 
haahahha...kwikwikwikwi.......jamanieeee, mbavu zangu, huu uzi nauprint nikaubandike geto...dah. mgirik we acha , mimi nilimbiwa niende jim kwanza eti angalau niwe na tumisuli kidogo. Dah Mateso haya
 
Back
Top Bottom