Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,175
- 34,410
Mwenzio keshajificha nyuma ya magazeti, kazi na akina mama afu wewe unamchomoa huko hivo macho makavu!! Hahahahaha. We mkareeee!!!
Sinaga aibu kwenye kuuliza kitu nisichokielewa.
Mwenzio keshajificha nyuma ya magazeti, kazi na akina mama afu wewe unamchomoa huko hivo macho makavu!! Hahahahaha. We mkareeee!!!
Definately is an over rated word dont you agree? A girl can never say never.
Zee la sick packs watu8, inabidi usome nyuma ya hizi herufi za huyu 'Legendary', vinginevyo you gonna miss the point she is trying to tell you. Remember Eclipse one.
Sinaga aibu kwenye kuuliza kitu nisichokielewa.
Ndio maana unaambiwa mwanamke ni kiumbe cha ajabu sana haeleweki yupo kama kinyonga. Ndio maana hata tam yao haieleweki iko upande gani? Akiinama inakuwa nyuma akisimama huwa kat kat, akilala chali inakuwa mbele..... Hebu vuta pic
heee! yamekuwa hayo!
We have a FAN now! its getting interesting. we are taking our time. WE ARE IN NO HURRY! Watu8 is man after allhe knows what he is doing.
Ilikuwa ni jana baada ya kurudi kazini,nikiwa nimejimzisha ndani huku nikisoma magazeti mbalimbali kupata habari za huku na kule kwa undani zaidi,naweza kusema mahali ninapoishi pembeni kuna mti mkubwa wenye kivuli kizuri kweli basi akina dada na akina mama hupenda kutandika majamvi ili kufaidi hewa nzuri ipatikanayo hapo,fumba na kufumbua walianzisha topic yao,"Ya kwamba wanaume wengi ni wajinga ya kwamba wanafikiri kuingiza yote ndani ndio tunapata raha!hawajui kumbe huku nje nje ndiko kunapotupa raha na starehe">mwengine akadakia;- ata sielewi huko ndani sijui wanatafutaga nini? maana karibu wanaume wote kazi yao kuingiza tuu moja kwa moja! wapendwa uswahili kuna mambo!
Sasa kwa hawa dada zetu lipi jema tuwafanyie a-spot,g-spot or what?
Hahah!!!...nipungie japo mkono mkuu
Hahahahaaaa.. sasa mkuu hata kama ni sumu si unakunywa afu una kidumu cha lita tano cha maziwa fresh cha 'kunyutrolaizi' kama ikibidi.... Keep the curiosity going carefully Bro, tusije tukaiimbia hio cat parapanda aisee!!!!