Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,018
weeeeeee........ Mi nimeimba tu ujuee!
Halafu mnajijua kuwa na nyie mko kama vioo????
Nyie si ndo mnatupa vichwa kwa kutusifia mara ooh, umzuri mara umependeza..... kumbe mna lenu jambo!
Ukiona mwanaume analiaaaa ujue kunajambooooo.....!!
nyie si mnalewa sifa?!...........tuendeleee hvyohvyo tutafka tu. Wenye kujaa matumbo watajaa, wenye kuachwa wataachwa na wenye kulia watalia ili mradi tufike tu
ukisikia paaa!! ujue yamekukuta!
wanaume tumeumbwa na weakness.. the strongest man on earth, mwanaume aliyekuwa na nguvu za mwili na kiroho...
samson, alidondoshwa na mwanamke!
iweje wewe leo hii? acha kudanganya umma bana!
Tofauti yetu kwenye suala la vioo ni kwamba nyie vinawadanganya, sisi gavitudanganyi..basi mtuachage kutusemasema mtafikiri nyie mnajiangaliaga kwenye ndoo ya maji wakati twaazimana vioo...... Tuendelee kulizana na wenye kutulia watatulia
umelizwa nini dogo?
Wanawake wazuri wazuri wameolewa wamebaki madunga embe wanaangaika!
Wanawake wazuri wazuri wameolewa wamebaki madunga embe wanaangaika!
Acha zenu!nyie mmetulia?
Tofauti yetu kwenye suala la vioo ni kwamba nyie vinawadanganya, sisi gavitudanganyi..
Hahaha...kwaio naruhusiwa kukuumiza sio?ukisikia paaa!! ujue yamekukuta!
wanaume tumeumbwa na weakness.. the strongest man on earth, mwanaume aliyekuwa na nguvu za mwili na kiroho...
samson, alidondoshwa na mwanamke!
iweje wewe leo hii? acha kudanganya umma bana!
mkuuu pole sana hauko pekeyako tuko wengi.....!
Bora sie wazee wa enzi hizo tulikuwa tanabeba vigori, siku ya ndoa lazima watu watafurahi tu maana inatandikwa shuka jeupi hapo lazima liloe damu na isipotoka ndoa imeishia hapo..
Sasa vijana nawaonea huruma sana hasa hawa upande kiumeni wanaibiwa tuuu.. naona siku hizi mambo yamekaa kibiashara zaidi ona kama mtoa mada yaonyesha kaumia sana lakini kumbe hakushtuka kuwa uwekezaji wake ulikuwa mdogo. More funds needed my friend.
uwiiiiiiii..kumbe na nyinyi mnalia nilijua peke yetu...wanaume ndo mnaotufanya tuwe na moyo wa chuma na kuona wote ni walewale hakuna wa afadhali.kumjua mwenye mapenzi ya kweli ni kazi kwani wengi ni walaghai....boro iwe ngoma droo.....
....mi nilikuta msg hii "ukija utafikia hotel gani my? na je utaniunganisha na whats up mpnz?Na wew yamekukuta?
....mi nilikuta msg hii "ukija utafikia hotel gani my? na je utaniunganisha na whats up mpnz?
kwanza nilifreez...maamuzi niliyoyafanya ni siri yangu kwakua huwa sina tabia ya kudought uamuzi wangu!
sio mimi nimuunganishe na whats up bali huyo jamaa yake akija! ni whats up hi hii unayoijua wewe!Utamuunganisha na watsap hii nnayoijua ama??ukafanya uamuzi gani??
uamuzi ni siri yangu.....!Utamuunganisha na watsap hii nnayoijua ama??ukafanya uamuzi gani??