Acha uongo wewe huo ustaarabu wameuanza lini?ukweli ni kwamba maandalizi yao ya kujisaidia sehemu hizo huchukua muda mrefu sana kuliko wanaume,kwanza wanatakiwa wavue vitu vingi ndipo wajisaidie,wakati cc ni fasta tuu una unzip then mwendo mdundo,ninachotaka kuwaambia kujisaidia konani ni freshi,ni poa ni yetu,hatuachi hii tamaduni ng'ooo,hata kwa bakora,kwanza vyooni kuna stink!!!Ni wastaarabu ndo maana hawafanyi hivyo barabarani
Acha uongo wewe huo ustaarabu wameuanza lini?ukweli ni kwamba maandalizi yao ya kujisaidia sehemu hizo huchukua muda mrefu sana kuliko wanaume,kwanza wanatakiwa wavue vitu vingi ndipo wajisaidie,wakati cc ni fasta tuu una unzip then mwendo mdundo,ninachotaka kuwaambia kujisaidia konani ni freshi,ni poa ni yetu,hatuachi hii tamaduni ng'ooo,hata kwa bakora,kwanza vyooni kuna stink!!!
kweli kina dada ni wastaarabu ndo maana wanajistahi
Au JS tuambie mashine ya huyo jamaa ilikuwa size gani? Hahahaha Najua ulikuwa na interest kuichungulia.
Na mimi niliwaza hivyo hivyo mpwa, huenda kilichomkera JS ni kuona kitu akaitamani lakini hawezi kuipata, big up sana huyo jamaa na wenyewe huwa wanatutamanisha na legging, na shanga zao wanazozianika kwenye madaladala.
Unadhani mtu ambaye hajawahi kuionja asali anaweza isifu utamu wake?hapa hakuna cha ustaarabu wala nini,kilichopo hapa ni process yenyewe tuu kwao huwa ndefu,kwanza ile imekaa kiwiziwizi,sasa kama dada atataka tuiga cc,gari ikimmulika atajisevu vipi?mpaka anyanyuke arudishie vivazi inakuwa too late,nyie hizi za kaizari mumuachie kaizari tuu,acheni turutubishe uoto wa asili kwahizi mbolea asilia,kuhusu ustaarabu akina dada msijidanganye,yaani kukaa barabarani na kuuza kale kakitu ndio mtuconvince ustaarabu,au kutembea na bwana wa rafikiyo inafanana na ustaarabu?Fikirieni tena!!!kweli kina dada ni wastaarabu ndo maana wanajistahi
Unadhani mtu ambaye hajawahi kuionja asali anaweza isifu utamu wake?hapa hakuna cha ustaarabu wala nini,kilichopo hapa ni process yenyewe tuu kwao huwa ndefu,kwanza ile imekaa kiwiziwizi,sasa kama dada atataka tuiga cc,gari ikimmulika atajisevu vipi?mpaka anyanyuke arudishie vivazi inakuwa too late,nyie hizi za kaizari mumuachie kaizari tuu,acheni turutubishe uoto wa asili kwahizi mbolea asilia,kuhusu ustaarabu akina dada msijidanganye,yaani kukaa barabarani na kuuza kale kakitu ndio mtuconvince ustaarabu,au kutembea na bwana wa rafikiyo inafanana na ustaarabu?Fikirieni tena!!!
Nyie wanaume vipi?
Mbona mnaingizwa mkenge? Wanawake nao hukojoa barabarani au pembeni mwa NJIA.
Nikiwa Arusha niliona Mama YEYO kaenda pembeni mwa njia, mara akajibinua na kufungua miguu na zile nguo zake akazivuta kwa nyuma. Hapo nikasikia Wawa waawaaaaaa.................. Sijui huwa wanafanyaje? Na kama sikosei au wanavaa G-String au hawavai kabisa chupi.
Mama Yeyoo! Mkuu umenikumbusha mbali. Enzi za kukaa kibalcony afu tunawalia chabo watoto wa Enaboishu au wa fadha babu. Lol! Nikipata nauli ntarudi tena Arusha!
Mkuu, kwani ulikuwa huna Mtoto wa Kibosho Sec? Nilikuwa napenda kuwaona na zile skert zao za njugu...... Mama Yeyo ilikuwa mwisho wa Matatizo. Hasa haka kaeneo mbele ya Geti la TCA upande wa Mianzini. Walikuwa wakifika tu hapo mbele ya nyumba za AICC, unaona huyo kabinuka..
Burn na Crispin: sikutamani chochote tena wala sikuiona zaidi ya kuona mkojo tu ukitoka si mnafichaga sana nyie mkiwa mnakojoa barabarani hamfuti mnakung'uta tuu mnadumbukiza ndani ya suruali.
Firstlady: you know what happens baada ya hapo?eti mtu huyohuyo anakuja kukusalimia anataka kushake hands na wewe jamani imezidi muache lol!!!
Afu kuna mtu aliwahi kuniambia eti mashosti wakimaliza kukojoa ni lazima waachie ka.ushuzi kidogo. Sasa kuachia ushuzi rodini si unajua soo.
Kwa hiyo ulikuwa interested zaidi na m.kojo au kitoa m.kojo? Acha kuzuga shosti. Hatudanganyiki. Unaogopa ku shake hands wakati mkiwa chobingo we mwenyewe kwa hiyari yako unaikamata, na kama vile haitoshi kwa raha unaisweka kinywani! Watu bana!