Akili zangu nazijua mwenyewe

KIBOD3

Senior Member
Sep 11, 2016
143
216
Afu serikali yetu ina ubaguzi sana kuna watu wametekwa na mapenzi lakini hawatafutwi
[HASHTAG]#akilizangunazijuamwenyewe[/HASHTAG].
 
Si kuna uzi umeanzisha mwenyewe unasema uko Kentucky unaomba company ya marafiki wa kibongo maana hujui sehem
[HASHTAG]#akilizakounazijuamwenyewe[/HASHTAG]
sijuh huyu jamaa ana fikiri hapa jf ni instagrama kama upo siriaz njoo pm ila ujikana vinginevyo tutashindwa kukuelewa....
 
Halafu ana kastatement kamoja tuu i dont know what you are talking sijui kakariri
Na hajui k una server imeweka kila kitu hata kama ni upuuzi wake wa miaka minne iliyopita
 
Nikafungua dictionary yangu nikijua ninabonga na mmarekani kumbe ni jirani yangu wa Kwamtogole.
 
Halafu ana kastatement kamoja tuu i dont know what you are talking sijui kakariri
Na hajui k una server imeweka kila kitu hata kama ni upuuzi wake wa miaka minne iliyopita
ahaa amejichanganya vibaya sana haya mambo tuwaachie wa nigeria na wa cameroon ndo kazi zao yeye anajaribu bahati ya kupata mchumba mkali ahaaa... kaumia vibaya sana ...
 
Dah style ya kizamani hiyo
Na angalau angekuwa na kiingereza kizuri sasa hata useme kweli huyu sio ila english mbovu na unajisema uko USA
 
hali ni tete sasa anakimbilia jf anazan atawaokota haaaa....
 
Back
Top Bottom