Akili za wanawake...

Umeongea vitu vikubwa sana mkuu,


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kila mmoja ni muislamu,halafu as long as MTU hatembei uchi muache na Uhuru wake,wewe wasema lkn mwanaume mwenzio ndio anampenda mkewe kwasababu hiyo na mpaka kamuoa,sisemi watu watembee maziwa wazi lkn Nguo zakumshape MTU sio kosa,we mkeo mvalishe madela hakuna ataekuuliza,kila mwanaume na choice zake,wengine hizo Nguo unazosema mumewe ndio kamnunulia avae.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kwel baadhi ya wanawake wanavaa vituko wanatuaibisha sisi tunaopenda kujstiri unakuta mtu kavaa kitu kmembana hata kutembea n shida unaona aibu badil yake
Inabidi uzowee tu mwaya. Mi zamani nilikuwa hivyo hivyo kama wewe ila baada ya kuzowea najionea kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…