Akili za wanawake...

afadhali hawa wanajifunika kidogo bibi yako kabla ya kuja mzungu si ndiyo ilikua aibu, vibwaya na matiti nje, embu acheni upuuzi
Kha!! Kwa hiyo hawa na bibi yangu unawafananisha??

Asee wakielewa nini unamanisha utawabeba
 



Wema Sepetu na Freeman Mbowe, Zitto Kabwe, Lema.
 
wa daslama ww

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Angevaa na majani kabisa. Toka wafundishwe kuvaa suti na wanaume wa kizungu wanajiona watu
 
Nawe nae akiri zako hazina tofauti na hizo boobs

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Wewe umeolewa au bado

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mavazi yaliletwa na mmisionari aliyetangulizwa na mkoloni...babu zetu na bibi zetu walikuwa wanacover hapo mbele tu na vibwaya vya magome au ngozi... Take a seat kunywa chill pill waaache wapumue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…