Akili za wanavyuo bhaana!

Akili za wanavyuo bhaana!

mm siwazagi ajira baada ya chuo nimeshakua satisfied na bajaji nikimaliza naunganisha kwenye bajaji moja kwa moja likitokea la mbele ok

pesa niloipata chuo imenisaidia kujijenga kidogo ko hbr za kuanza upya sitakua nazo
 
Psychological preparedness is required, when students are at colleges
 
me nahisi kwa hao vijana hakuna namnaa bt wajifariji tuu coz abstraction has good reality to the real life so you don have to let them down brooooo...🙄
Yes waache wawe na furaha. Ila sio mbaya wakaujua ukweli wao pamoja na wengine. Na vizuri kuwa na ndoto ila ziwe za binafsi. Sio za kutegemea. Too much expectation will result heart diseases.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom