Field,,Volunteering it's very simple kupata,,kaz sasa mmmmmmh?insue nyngne jabisa na sio rahis kabisa
Mfano mm hapa nimemaliza chuo August21 2015 nikiwa na matarajio makubwa ya nikitoka tu chuo fasta one week niwe tayar nimeshaanza kaz,,tulivyomaliza tu fasta nikatengebeza cv yangu na kufanya applications nyng tu kila kona pesa nyng sana aisee nauli kop daaa hatar
One week ikapita hola next the next week tukaitwa kwenye iinterview kwenye taasis fulan hv tulikuwa km 25 hv ila post ni 5 tu,,interview was done na nikiisikia tayar wameitwa means nimeachwa
Wiki 3 zikaisha no jobs,
Nikaandika volunteering letter to taasis flan hv ilikuwa j5 ya week3 j3 nikaitwa na nikasain mkataba for 3months,,msos bure na usafir bure nikaona powa sana acha nipate exposure,,hata hvo alie nishaur ni frnd wangu kaajirwa hapo alikuwa km volunteer hata mwez haukuisha akasain mkataba wa job
Kwa niliweka 90% after 1or2 month ntakuwa nacheka na ITM
Kwakwel bahat ya mwenzio usiillalie mlango waz 3months zimepita na mkataba umeisha niko mtaan sasa no jobs