Msichana anataka mvulana akuwe, aache utoto, afanye mambo makubwa, awe mtu wa mjukumu, malengo, lakini yeye anataka uwe unambembeleza kama mtoto mchanga, na uumtunze kama mtoto mpendwa utimize mahitaji yote, yani opposit na vile wewe anataka uwe
Hivi kumbe mtoto wakiume ndio peke anastahili kukua na kuwa mtu wa majukumu na malengo..!? then wakati sie tunakua na kuanza majukumu iyo jinsia nyingine inakuaje..?