Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,313
- 12,166
Mwalimu Wa Hesabu aliingia darasani na akaanza kumuuliza Juma maswali:
MWALIMU: juu Ya Mti Kuna Ndege 20 Ukiichukua Bunduki Ukawapiga Ndege 2 watabaki wangapi?.
JUMA: hawatabaki wote wataruka kwa kuogopa mlio wa bunduki.
MWALIMU: hapana umekosa watabaki ndege 18 ila nimependa ulivyojibu umewaza mbalii.
JUMA: sawa mwalimu nami naomba nikuulize swali.
JUMA: kuna wadada wawili walinunua chocklet mmoja akawa ananyonya mwingine akawa analamba we unahisi yupi ni mke wa mtu?.
MWALIMU: nadhani mke wa mtu ni yule anaye nyonya.
JUMA: hapana mke wa mtu ni yule mwenye pete ya ndoa ila nimependa ulivyojibu umewaza mbaliii!...