Akili Ya Mtoto Na Makuzi Yake

Mlenge

R I P
Oct 31, 2006
2,125
2,291
Vitabu vifuatavyo vimekuwa ni muhimu katika kuelewa namna bora za kushamirisha makuzi ya akili ya mtoto. Kwa wazazi na kwa wakufunzi wa vituo vya kulelea watoto, hivi vinaweza kuwa vya manufaa.

  1. The Absorbent Mind, by Maria Montessori
  2. The Growth of the Mind: An Introduction to Child-Psychology, by Kurt Koffka
  3. The Growth of the Mind: And the Endangered Origins of Intelligence, by Stanley I. Greenspan and Beryl Lieff Benderly

Vitabu vipi vingine vya kuongezwa kwenye orodha hii?
 
tuletee na vya kiswahili mkuu
 
Mkuu c ungesummarize kwa kiswahili point za msingi

Pointi kuu ni kwamba vituo vingi vya kutolea elimu, pamoja na kwenye kaya nyingi, uelewa wao kuhusu akili ya mtoto na makuzi yake ni mdogo sana. Hivyo utakuta kaya na vituo vya elimu hivyo hufanya maamuzi na kujenga mazingira yasiyo rafiki kwa makuzi ya akili ya mtoto. Wakati mwingine hata kudumaza na kufifisha makuzi hayo.

Mfano:

Wazazi wengi hudhania ya kwamba:

1. Mtoto anapozaliwa huwa ni mjinga, maamuma, zumbukuku ulimwengu uko huku.

2. Mtoto huyu "Mjinga" hupelekwa shule za chekechea au dei kea ili kuanza kumjengea mazingira na mazoea ya kufutwa ujinga na mwalimu aliyesomea.

3. Mtoto akienda shule anapata elimu. Akirudi nyumbani hapati elimu, labda awe anafanya homuweki au ashike madaftari ya shuleni alikotoka au pengine vitabu VYA SHULE.

4. n.k.

Mawazo hayo yote hayaendi na uhalisia wa akili ya mtoto, na makuzi yake.
 
Back
Top Bottom