Akili ya Mtanzania inazunguka palepale

Akili ya Mtanzania inazunguka palepale

Keynez

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Posts
3,621
Reaction score
6,512
Ndugu zangu watanzania leo kila mmoja wetu afanye maombi maalumu. Akili zetu zimenasa kwenye udongo mfinyanzi. Tuombe Mungu atunasue.

Bodaboda
Daladala
Rambirambi
Takataka
Pikipiki
Mbalimbali
Wasiwasi
Mbogamboga
Kuokotaokota
Barabara
Kulialia
Mbwembwe

Yaani tupo PALEPALE. Tukifanya YALEYALE!!
 
Hivi kuna aliyemwelewa mtoa mada kweli???,binafsi nimetoka kapa huwezi amini.
 
jamaa kakurupuka usingizini

Hivi haufahamu ukiwa umetoka tu usingizini akili yako inakuwa kwenye purest form? Kuna kitu kimoja ningekufundisha hapa kingekusaidia sana ila tatizo wajuaji wengi humu.
 
Mzee wa fact,Le mbebeez Le mobimba Le degree in Criminology and Psychology le baharia Le Mkitambi Le Msemaji wa Bashite Le forever young !Haja comment chochote kuhusu picha ya gari la mateka.
 
Poa poa Mimi nalalalala

Acha tu niongezee wale majuha hawajaelewa.
Viwanja visivyopimwa
Kujaza kupita kiasii
Michango ya harusi
Kulilia ajira
Kutekanatekana
Kwenda kwa waganga
Kayumba
Vihiyo
Nk

Mimi
Wewe
Yeye
Kutekanatekana

Huu uzi najua umekaa kiutani lakini kuna kitu serious sana najaribu kukisema ingawa tafsiri yake nawaachia nyinyi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom