AKILI : Ni bora kununua mashamba kuliko kujenga nyumba

AKILI : Ni bora kununua mashamba kuliko kujenga nyumba

Huyu MO mnaemuona amelelewa maghorofani uhindini mjini katokea ghorofani kwenda kusoma USA wewe umesoma zako TEKU sijui SAUT unabahatisha mkopo NMB unakimbilia kwenda kujenga Chamazi bhasi kelele kama vile dunia ndo imefika mwisho.
Tuacheni tuishi tunavyotaka nyumba si amri sisi wacha tununue magari kwanza
 
Hapa naona kila mmoja anaongea lake bila kujua faida na hasara za kila upande,hii ndio shida ya vijana wa ki Tanzania walio wengi,akisikia kitu fulani kinalipa anakimbila huko kisa kaambiwa kinalipa,Nyumba ina umuhimu wake maishani tena mkuubwa sana
Na upande wa pili hauna umuhimu sio?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni ushauri wangu tu. Hasa kwa vijana.

Ni mara 100 ukanunua mashamba /maeneo kuliko kukimbilia kujenga nyumba ya kuishi.

Ukinunua maeneo / mashamba , unakuwa kwenye nafasi nzuri zaidi ya kuishi vzr hapo baadae kuliko kukimbilia kujenga nyumba.

Mfano una 20 milion. Nunua mashamba yako mazuri yanayofaa kwa kilimo hasa cha umwagiliaji hata kama 5 acres @ 4 mil kuliko ujenge nyumba ya kuishi yenye thamani hiyo.





Sent using Jamii Forums mobile app
Usitake vipaumbele vifanane mkuu, kila mtu na vipaumbele vyake, ndo maana mwingine anauza shamba ili ajenge nyumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila kama mtu anatumia pesa nyingi kukodi alafu pesa ya kukodi ikawa inazidi gharama ya kujenga basi bora ajennge.

Mfano watu wanalipa kodi kwa mwezi 1M huyu akomae ajenge tu.

Ila mwenzangu na mimi kodi kwa mwezi alfu 50 bora mtu aingie kwenye biashara akitusua anajenga ndani ya wiki moja tu.

Nna kiwanja changu nilipanga nianze kujenga mwaka huu nimeghairi,pesa naanzisha mtaji naingia maeneo ya ifakara nachukua mzigo.kiwanja ntakuwa naenda kukiangalia tu kama vile kinaumwa.

Haya maisha bhana

Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana kaka tafuta kwanza namna ya kuongeza kipato ukiwa na hela nyumba ni kitu kidogo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana kaka tafuta kwanza namna ya kuongeza kipato ukiwa na hela nyumba ni kitu kidogo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes mkuu.
Kuna washkaji zangu eti mtu kaenda kachukua mkopo milioni 8 alaafu kiwanja milioni 4-5 inabaki milioni 4 hyo anapandisha msingi nyumba inaishia kwenye dirisha.na pesa imeisha kabisa.hasara zake ni kama ifuatavyooo.


Mkopo anakatwa ndani ya miaka 5.

Pesa alizokopa hazijaisha hata miezi mitatu.

Hivyo kabakiza miaka minne na miezi sita

Hapo mshahara wake unakatwa kwa muda huo wa miaka minne na miezi kadhaa.

Kama alikuwa anapokea laki 5 basi atakuwa anapokea laki tatu.

Hivyo hiyo laki tatu anayopokea atoe pesa ya kula hapo hapo na mahitaji ya familia kwa ujumla.sawa atajibana.

Katika hiyo laki tatu anaweza akatoa pesa anendeleze kujenga na ilhali laki ratu hiyo hiyo ndo anaitegemea kuendesha familia? Ataweza nakuuliza? Eeenh??

Katika laki tatu hiyo hiyo ataweza kuingia ujasiri wa kukusanya mtaji na kuanza biashara wakati familia inaangalia laki tatu hiyo hiyo? Ataweza?

Kwa hiyo utakuta pesa haitoshi,nyumba imesimama,hakuna mtaji wa biashara.

Kinachobaki ni kusubiri miaaaka minne iishe akakope tena huku akiendelea kubangaiza.

Kumbe ilikuwa akusanye mtaji aanze kuingia mtaani tu kibingwaa.
Mambo yakinyooka unajemga ndani ya mda mfupi tu.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni ushauri wangu tu. Hasa kwa vijana.

Ni mara 100 ukanunua mashamba /maeneo kuliko kukimbilia kujenga nyumba ya kuishi.

Ukinunua maeneo / mashamba , unakuwa kwenye nafasi nzuri zaidi ya kuishi vzr hapo baadae kuliko kukimbilia kujenga nyumba.

Mfano una 20 milion. Nunua mashamba yako mazuri yanayofaa kwa kilimo hasa cha umwagiliaji hata kama 5 acres @ 4 mil kuliko ujenge nyumba ya kuishi yenye thamani hiyo.





Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hoja yako, hiyo kiuchumi tunaita "opportunity cost" ni mawazo yako ambayo ni sahihi kwako japo sio lazima yawe sahihi kwa mwingine

MUHIMU:
Pamoja na kufikiria maisha ya baadae, ni vizuri pia kufikiria maisha ya sasa. Imekuwa tabia ya watu wengi kujilimbikizia Mali na pengine hata kuwadhulumu maskini wakiweka akiba ya maisha ya kesho....hadi siku wanaondoka Duniani bado wanajilimbikizia tuuu....matokeo yake huondoka hata hiyo kesho haijafika.
Fanya nafasi yako huku ukimtegemea Mungu, waachie na wengine wafanye nafasi yao!!!
 
Ila kama mtu anatumia pesa nyingi kukodi alafu pesa ya kukodi ikawa inazidi gharama ya kujenga basi bora ajennge.

Mfano watu wanalipa kodi kwa mwezi 1M huyu akomae ajenge tu.

Ila mwenzangu na mimi kodi kwa mwezi alfu 50 bora mtu aingie kwenye biashara akitusua anajenga ndani ya wiki moja tu.

Nna kiwanja changu nilipanga nianze kujenga mwaka huu nimeghairi,pesa naanzisha mtaji naingia maeneo ya ifakara nachukua mzigo.kiwanja ntakuwa naenda kukiangalia tu kama vile kinaumwa.

Haya maisha bhana

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes, kwa sababu kujenga ni sawa na kufukia pesa.... Nakuja inbox mzee
 
Ila kama mtu anatumia pesa nyingi kukodi alafu pesa ya kukodi ikawa inazidi gharama ya kujenga basi bora ajennge.

Mfano watu wanalipa kodi kwa mwezi 1M huyu akomae ajenge tu.

Ila mwenzangu na mimi kodi kwa mwezi alfu 50 bora mtu aingie kwenye biashara akitusua anajenga ndani ya wiki moja tu.

Nna kiwanja changu nilipanga nianze kujenga mwaka huu nimeghairi,pesa naanzisha mtaji naingia maeneo ya ifakara nachukua mzigo.kiwanja ntakuwa naenda kukiangalia tu kama vile kinaumwa.

Haya maisha bhana

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom