nahisi ni mmoja wa marobbot wa ccm wasiojitambua kuwa akili zao wameziset na kamwe auwezi kuja kujitambua.mwigulu hana akili timamu kwasababu ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,si akili timamu kukazania chadema kuna magaidi kwa kutumia katiba dhaifu ya Tanzania na kinga ya chama tawala. si akili timamu kukazania jambo fulani ikiwa hata ushahidi hautoshi na kuropoka mbele za watu.si akili timamu kuwa kiherehere kila mahali utazania wewe unauchungu wa nchi kuliko watu wote. si akili timamu kuingia bungeni na kutetea serikali wakati teyari kuna janga la wanafunzi kufeli Tanzania kwa kutoa vipointi vya kusadikika. NAAMURU MWIGULU APIMWE AKILI!!!