Akili iliyotumika kumsifu Kikwete ndio akili hiyo hiyo inayotumika tumuone Magufuli ni malaika

ni ha

ni hawa hawa walioimba nchi nzima kuwa ndg. Lowassa ni fisadi mkubwa na ni hawahawa leo wanaimba kuwa Lowassa ni malaika...jamani wanafiki hawa na wababaishaji.
Ushapata mchongo mkuu...?
CCM mbele Kwa mbele.....hahaha.... Duh
 
Usishangae ndugu cha muhimu ni upande uliopo mko wengi kiasi gani na MNA nguvu ipi, ndio siasa za kiafrika in mithili ya kizombi na kinyumbu, pinga kila kitu, unga mkono kila kitu
 
Unaishi kwa kukariri jiongeze siasa mchezo mchafu unafikir hadi chadema wanamsimamisha kugombea urais hawakuliona au hawakujua ukweli ulipo? Ww na wazir wako mwakyembe mnaakili kwa nn hamjamkata na ripot ya tume ipo toka 2008?

Ndizo akili hizo, muulize aliyeanzisha maada ningekuwa mie ndo mleta maada ningekujibu. Mie nime replicate side ile nyingine, yani side ya pili ya kwamba akili zile zile zilizosema fisadi lowasa ndo akili hizo hizo zinazosema lowasa rais wenu wa moyo.
 
Na sisi tunasemaje ndo akili hizo hizo zinzowaza fisad ni lowasa pekee tz kwa kuwa zilipigwa chenga na upinzani lakin bado kazishinda akili timamu zinazo contro serikali na vyombo vya dola zinakuja kulialia jamii forum badala ya kumkamata na ushahid wanao.
 
Ndo hizo hizo akili zilizoanzisha hii thread, hizi akili zingegundua kinachoandikwa ni musumeno basi hii thread isingekuwepo. Lakini badala yake zitaendelea kubadili gia hapa na pale, kwa sababu ni akili zilezile.
 
Musumeno, musoma =msumeno

Ndo hizi hizi akili zinafikilia magufuli ni mtu msafi wakat cag alipoteuliwa mwaka jana wizara ya ujenz aliikuta na upotevu wa bilion 580 ikiwa chini ya magu tunakausha kwa kuwa ni ile ile tafuta nyuz humu utaukuta had ushahid ndo akili hizi hizi zunaendeleza zidumu fikra za mwenyekiti
 
wakat = wakati
ujenzi -ujenzi
magu= Magu nk.

Akili hizi hizi zitaendelea kupiga dana dana hapa na pale, ili zipate kufunika jamaa yao, Rais wa moyo yenu aka fisadi papa la mwembe yanga . Kama hizi akili ndivyo ilivyo, kwamba wizara ilipata upotevu wa bilion 580. Je wizara zote zilizokuwa chini ya Lowasa toka 2006 mpaka anaachia madaraka tumepata upotevu kiasi gani? Je wajua richmond mpaka leo tunalipa kiasi gani? je hizi akili zimepata kujiuliza hilo ama ni kwasababu ni akili zile zile za hapa na pale yani ya kwamba zinashindwa kutanabaisha kinagaubaga tungamo na mchapuko halisi wa hoja yenyewe?
 
Akili hizo ndo zitaendelea kupiga danadana wakat lowasa anatumbua chake ripot mnayo na mmeikalia na kama mnatambua hayo ikiwa nyie ni serikali mna kila kitu majeshi hadi mahakama na jamaa hana hata kinga mmeshindwa kumkamata akili hizi hahahahaha et tunalipa shilingi ngapi mnakubali kupata hasara kwa mtu anaeonekana akili hizi ndo mana tunasema mmeshindwa kuongoza serikali kama mtu mmoja anawashinda na bado wakina chenge, tiba mtawaweza akili hizi zimechoka sana.
 
wakat = wakati
ujenzi -ujenzi
magu= Magu nk.

Akili hizi hizi zitaendelea kupiga dana dana hapa na pale, ili zipate kufunika jamaa yao, Rais wa moyo yenu aka fisadi papa la mwembe yanga . Kama hizi akili ndivyo ilivyo, kwamba wizara ilipata upotevu wa bilion 580. Je wizara zote zilizokuwa chini ya Lowasa toka 2006 mpaka anaachia madaraka tumepata upotevu kiasi gani? Je wajua richmond mpaka leo tunalipa kiasi gani? je hizi akili zimepata kujiuliza hilo ama ni kwasababu ni akili zile zile za hapa na pale yani ya kwamba zinashindwa kutanabaisha kinagaubaga tungamo na mchapuko halisi wa hoja yenyewe?

Musumeno hahahaha unaweza kukuta nabishana na darasa la masela ngoja nkuache.
 
Kikwete si mtu anayestahili sifa yeyote na kama atatokea mtanzania kumsifia Kikwete basi itabidi achunguzwe akili.
 
Watanzania wenzangu, akili na fikra zilizotumika kutetea utawala wa Raisi Kikwete kwa karibu kila jambo na kupinga mawazo ya upinzani ya kumkosoa Kikwete ndio hiyo hiyo inayotutaka leo hii tuamini Magufuli ni malaika asiefanya makosa na kumkosoa ni dhambi kubwa kama sio wivu.

Ni hawa hawa walitetea safari za nje ya nchi za wakati wa Kikwete lakini ni hawa hawa leo hii wanaungana na Magufuli kuziponda safari hizi!Watu wa ajabu sana hawa!

Ni hawa hawa walitetea na kusifu mabilioni ya shilingi kutumika kwenye sherehe za uhuru na ni watu wale wale leo hii wameungana na Magufuli kuzipinga sherehe hizi kwamba zinatumia fedha nyingi!Unafiki gani huu!

Ni watu hawa hawa walitetea bajeti kubwa ya chai na vitafunwa kutengwa kwa ajili ya Ikulu na maofisi mengine ya umma lakini ni watu hawa hawa leo hii wanaungana na kumsifia Magufuli kwa kubana matumizi!Binadamu hawa sijui unaweza kuwapata wapi zaidi ya nchi hii!

Ni akili hii hii iliyoshabikia kuwa elimu bure haiwzekani lakini ni akili hiyo hiyo leo hii inaamini elimu bure inawezekana!Zero kabisa!

Ni akili hii hii inayotuambia tunaweza kujitegemea bila misaada lakini ni akili hiyo hiyo inapigia chapuo misaada ya fedha kutoka kwa wachina! Very pathetic!

Yako mengi sana kuhusu hawa wenzetu ambao nadhani sample ya brain yao inahitajika kupelekwa maabara kwa uchunguzi kuoma kama wana afya ya kili inayokubalika.

Tuwaepuka hawa bendera fuata upepo.
Lo!
 
Nafikiri somo la ufahamu ni tatizo kwako au unajitoa akili kusudi. Hoja ya safari nje inayopingwa na serikali ya sasa ni zile za watumishi wa ngazj zingine za kiserikali na mashirika na taasisi zake na ndiyo hesabu alizozitoa Bungeni.
Rais na ujumbe wake kutoka kwenda kutangaza fursa za uwekezaji ni muhimu ili kuwapa uhakika wawekezaji kuwa mitaji yao kuwa salama. Rais Kikwete kaalika mitaji mingi sasa niwakati wa kuona tija yake.
Faida ya wawekezaji unaweza kuiona katika kuhama kwa teknolojia. Sasa wachimbaji wadogo wanaujuzi mkubwa waliouiga. Huko Mererani kesi ya mitobozano kati ya wachimbaji wadogo dhidi ya wakubwa ni kila siku. Pia huko Geita watu wameacha kutumia sululu na kinu sasa wanatumia compressor na crasher na kukamata dhahabu kwa carbon.
Cha msingi tusipotoshe kinachokatazwa katika safari za nje na malengo yake. Ukiwa hujui uliza sio kuwa na haraka ya kuleta hoja ya kupotosha umma.
out of the point, hoja ni huo unafiki wetu na kumwona magu ni malaika. nikwambie kitu bwa mdogo ni takriban miez mitano 2 ya utawala wa huyu jamaa tumeshuudia upuuzi mwingi sana..magu sio smart kabixa
 
Back
Top Bottom