Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,695
- 149,921
Watanzania wenzangu, akili na fikra zilizotumika kutetea utawala wa Raisi Kikwete kwa karibu kila jambo na kupinga mawazo ya upinzani ya kumkosoa Kikwete ndio hiyo hiyo inayotutaka leo hii tuamini Magufuli ni malaika asiefanya makosa na kumkosoa ni dhambi kubwa kama sio wivu.
Ni hawa hawa walitetea safari za nje ya nchi za wakati wa Kikwete lakini ni hawa hawa leo hii wanaungana na Magufuli kuziponda safari hizi!Watu wa ajabu sana hawa!
Ni hawa hawa walitetea na kusifu mabilioni ya shilingi kutumika kwenye sherehe za uhuru na ni watu wale wale leo hii wameungana na Magufuli kuzipinga sherehe hizi kwamba zinatumia fedha nyingi!Unafiki gani huu!
Ni watu hawa hawa walitetea bajeti kubwa ya chai na vitafunwa kutengwa kwa ajili ya Ikulu na maofisi mengine ya umma lakini ni watu hawa hawa leo hii wanaungana na kumsifia Magufuli kwa kubana matumizi!Binadamu hawa sijui unaweza kuwapata wapi zaidi ya nchi hii!
Ni akili hii hii iliyoshabikia kuwa elimu bure haiwzekani lakini ni akili hiyo hiyo leo hii inaamini elimu bure inawezekana!Zero kabisa!
Ni akili hii hii inayotuambia tunaweza kujitegemea bila misaada lakini ni akili hiyo hiyo inapigia chapuo misaada ya fedha kutoka kwa wachina! Very pathetic!
Yako mengi sana kuhusu hawa wenzetu ambao nadhani sample ya brain yao inahitajika kupelekwa maabara kwa uchunguzi kuoma kama wana afya ya kili inayokubalika.
Tuwaepuka hawa bendera fuata upepo.