Bladerunner
Member
- Dec 19, 2008
- 93
- 4
Jamaa watatu walikua wakifanya kazi katika kampuni fulani hivi!!Bosi wao alikua na tabia ya kula kona kila Ijumaa baada ya lunch time afu anawaachia kazi kibao wamalizie!!Ijumaa hii wakapanga akila kona na wao wale kona!!
Jumatatu wakawa wanapeana michapo!!
Wa kwanza:ebwanae ucpime ijumaa nliutwika ile mbaya mpaka nikamtongoza wife nikidhani demu mwengine!!
Wa pili:hujanishinda mimi niliutwika mpaka nikasahau kwangu,nikaishia chumbani kwa mwenyekiti wa mtaa!
Watatu:akaanza kulalama!!"Nyie washkaji hamfai kabisa,mwenzenu leo ningekua sina kibarua!!mimi nilirudi nyumbani,ile kufungua mlango wa chumba tu si nikamkuta BOSI NA WIFE WANGU KITANDANI!!Yani nashukuru mungu hakuniona,nikatoka kimya kimya!!!"

Last edited: