Malaika wa Misukosuko
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 2,878
- 8,652
Mweee kumbe ndio hawa wanawake tuweke ndani....mhm aya yetu machokama hataki hataki,,,utamshawishiii weee kumbe mwenzio anakuona the cheapest one
We kama unataka kuoa oa ila mpaka nianze ngonjera ukinioa mimi ntakua nakupikia 😀😀sijui nakushauri sijui nini wooooiHawa ndio wanawake wakuoa 🤣🤣🤣🤣🤣 aise kataa ndoa mna point
Unatakiwa kunishawishi kwa uno na maneno na mahaba kunako sita kwa sitaWe kama unataka kuoa oa ila mpaka nianze ngonjera ukinioa mimi ntakua nakupikia 😀😀sijui nakushauri sijui nini wooooi
😀😀😀😀😀😀😀sheeeenzi zakoUnatakiwa kunishawishi kwa uno na maneno na mahaba kunako sita kwa sita
Eti mpaka tuwashawishi shenzi zaoPale mwanaume anapoona kumwoa mwanamke ni kama Kumsaidia.....Binadamu bhana
Wakae tu bila kuoa waolewe wao...who cares 🙄Eti mpaka tuwashawishi shenzi zao
Haya sie tunasubiria siku wanwake saba watakapo muomba kidume awaoe ndio tutaona nani shenziEti mpaka tuwashawishi shenzi zao
Sawa sii mnajitutumua hapa nyuma ya keyboard ila mkienda kulala usiku full kulia liaWakae tu bila kuoa waolewe wao...who cares 🙄
🤣🤣🤣🤣...Nime🐒 palee....msitegemeeHaya sie tunasubiria siku wanwake saba watakapo muomba kidume awaoe ndio tutaona nani shenzi
Waolewe tu… we don’t careWakae tu bila kuoa waolewe wao...who cares 🙄
Kumbe mnajua quality za u-wife material sasa mbona mnajizima data AmehloWe kama unataka kuoa oa ila mpaka nianze ngonjera ukinioa mimi ntakua nakupikia 😀😀sijui nakushauri sijui nini wooooi
Hatutakua sisi mashangazi wa jfHaya sie tunasubiria siku wanwake saba watakapo muomba kidume awaoe ndio tutaona nani shenzi
Kulia gani tena,mie hapa nasubiri nizimishe simu na niweke mwamba hafifu Kwa room nijiselfie nilale😋Sawa sii mnajitutumua hapa nyuma ya keyboard ila mkienda kulala usiku full kulia lia
Wee tulia tuu kwani miaka saba mbali🤣🤣🤣🤣...Nime🐒 palee....msitegemee
Tena nyie mashangazi ndio mtatususia mbusus zenu ili tushawishike kuwawowaHatutakua sisi mashangazi wa jf
Yote tisa,kumi maisha ni vile unavyoyachukulia na kuyaishiWaolewe tu… we don’t care
Sio shida zetu
Huo muda wa kulia ndo hatuna 😂😂😂Sawa sii mnajitutumua hapa nyuma ya keyboard ila mkienda kulala usiku full kulia lia