Akianza kubeba begi kama hili achana naye

Akianza kubeba begi kama hili achana naye

Ex wangu anavyo na nishawahi kumnunulia mara mbili. Vaeni mabwanga, vitenge, suruali za marinda na mbebe hizo Louis Vuitton za laki ngapi.

Kwani mnataka wavae nini sasa, na kama unataka avae kwa design gani mnunulie. Unataka awe kwenye hadhi flani mfanye awe hivo akikataa achana nae.
Waambie hao
 
Hahaha vibegi vya ma sleyquen ivyo. Alafu Sasa chini avae viatu vya manyonya na simu yake iwe na cover la mdoli ana maskio kimbia kabsaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Viatu kama hv
IMG-20200403-WA0021.jpg
 
Back
Top Bottom