Akianza kubeba begi kama hili achana naye

Akianza kubeba begi kama hili achana naye

Mambo ya fashoni hayo,kuna mdada wa makamo umri 28~~33 anapema Sana kuvaa kibegi kama hicho sasa na yeye alivyo na tumbo besheni nikimuona naishia kucheka

Anajiita slay Queen pia,sijui slay Queen ni nini!
 
Hahaha vibegi vya ma sleyquen ivyo. Alafu Sasa chini avae viatu vya manyonya na simu yake iwe na cover la mdoli ana maskio kimbia kabsaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha....umenichekesha sana mkuu maana nipo hapa na demu mmoja hivi nasaundisha nimugegede.

Kaja amevaa viatu vya wazi vina manyoya na hicho kibegi na simu ina kava la mdoli

Vinafanana vyote rangi yaani kamechisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unazungumzia swala la marinda kuwepo au kutokuwepo..?? au unashauri tutumie kinga
 
Ex wangu anavyo na nishawahi kumnunulia mara mbili. Vaeni mabwanga, vitenge, suruali za marinda na mbebe hizo Louis Vuitton za laki ngapi.

Kwani mnataka wavae nini sasa, na kama unataka avae kwa design gani mnunulie. Unataka awe kwenye hadhi flani mfanye awe hivo akikataa achana nae.
 
Back
Top Bottom