Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,549
- 49,425
Ukimwona mapenzi/demu wako anabeba begi kama hili mpishe aende.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] siyo kwamba uvae gloves.Hahaha vibegi vya ma sleyquen ivyo. Alafu Sasa chini avae viatu vya manyonya na simu yake iwe na cover la mdoli ana maskio kimbia kabsaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa vijana punguzeni uwogaHahaha vibegi vya ma sleyquen ivyo. Alafu Sasa chini avae viatu vya manyonya na simu yake iwe na cover la mdoli ana maskio kimbia kabsaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha vibegi vya ma sleyquen ivyo. Alafu Sasa chini avae viatu vya manyonya na simu yake iwe na cover la mdoli ana maskio kimbia kabsaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wengine siku hizi wanavaa misuruali flani mipana ina marinda kibao,nawaogopa sana.Hahaha vibegi vya ma sleyquen ivyo. Alafu Sasa chini avae viatu vya manyonya na simu yake iwe na cover la mdoli ana maskio kimbia kabsaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mabegi ya watoto wa sekondari???
Hamna msichana hata wa chuo anaebeba huo uchafu. Hayo ya watoto.
Sent using Jamii Forums mobile app