Mi namtetea pengine hakuwa na nia mbaya kabisa na ungelala kwake asingekugegeda wala nn
haa mtu anakwambia hataki dirishani wamuone, mara nisiongee kwa saut kubwa watamsikia, amefunga milango yote na kuzima taa juu huku mziki sauti kubwaaa nisishtuke tu!! kama ni kunisaidia yeye angenambia atalala na yule kaka aloenda kuangalia mech then mim nilale kwake at least ningemwelewa!
sasa ulivyokaa chini eti joints zimeorojoka , nini lilikuwa lengo lako? , au nyie ndio wale wa .."niangusege mwenyewe sambi zako mwenyewe!".
mahondaw, ungetulia tuli uone anachofanya!
kwani hio ni mara yako ya kwanza mamii???
next time usipige kelele, vumilia angalau 90% uone situation inakofikia...
ukiona bikini inaanza kuchunguliwa sasa hapo ndipo utoe macho eenh!! sawa mtoto mzuri?

namimi ngeitikia haya usiku mwema nawe pia kisha najifungia mlango usingeamini
haa mtu anakwambia hataki dirishani wamuone, mara nisiongee kwa saut kubwa watamsikia, amefunga milango yote na kuzima taa juu huku mziki sauti kubwaaa nisishtuke tu!! kama ni kunisaidia yeye angenambia atalala na yule kaka aloenda kuangalia mech then mim nilale kwake at least ningemwelewa!
Kwa kizazi hiki cha laana ni binti mmoja katika kumi ambaye anasema no yenye kumaanisha hapana, na ukichukua sampuli at random unaweza kukosa hata mmoja kwenye kundi la kumi!
hata kama jamani mi mgeni ndio kwanza nmetokea mkoa mwinginee kabsaa na ni mara ya kwanza kufika hapo wamenipokea saa 12 jioni saa 3 usiku vimbwanga vikaanza dah cdhani kama mzima huyu kaka bila shaka atakua mbili kasoro sio bure
mmhh ile ngumu kuvumilia asee yani bila hata woga anaoneshea et utalala kulee mimi hukuu lol!!
habari ndio hiyo...! pale angetulia tu ampime kama jamaa ana uwezo wa kusimamisha ama lah!
kwani mahondaw angejivolunteer siku moja bana ingekuwaje? mbona mnatutesa hivyo tusioweza kuwatongoza uso kwa uso?
Alikua hataki watu wamuone au wasikie kelele ili wasije kumhisi vibaya kwani yy hakuwa na lengo baya
hapa nlisahau kuhadithia banah kwanza wakat tuapigapiga stori akaniuliza una mchumba?? yupo wap?? ni mchumba ama just a boyfriend?? mmhh mtoto wa watu ndokwanzaaa nimefika hata sijapumzika nakumbana na hilo swali khaaa!
Hivi kumbe madomo zenge ndo wapo hivyo eeh,
Ingekuwa ni mimi ningeuvuta huo mgegedo mpaka ajutee
sura tu???????!!!