Akaunti za wafu Facebook ni nyingi

Akaunti za wafu Facebook ni nyingi

Ukitaka kuamini kuwa hata JF kuna memba wengi wamevuta, fungua nyuzi za 2010 kurudi nyuma halafu check last activities zao.
Nashauri JF mtu asipokuwa hewani kwa mwaka, akatwe.
Yah dats right... Bt tatizo wamiliki wa hizi mitandao nao wanaona ufahari kuwa na watu wengi no matter wako active or inactive
 
Ukitaka kuamini kuwa hata JF kuna memba wengi wamevuta, fungua nyuzi za 2010 kurudi nyuma halafu check last activities zao.
Nashauri JF mtu asipokuwa hewani kwa mwaka, akatwe.
Kuna wengine wana account mbili na moja tu ndio anaitumia siku akipigwa ban anazuka na hio inginewe, Tofauti ya FB wafu waliweka na picha zao kabisa ndio hapa point ilipo wataondolewaje?
 
Ukitaka kuamini kuwa hata JF kuna memba wengi wamevuta, fungua nyuzi za 2010 kurudi nyuma halafu check last activities zao.
Nashauri JF mtu asipokuwa hewani kwa mwaka, akatwe.
Hapa jf wengi wana id zaidi ya moja! kuna wengine id zao zilisha zoeleka hapa jf na wanaheshimika siku akitaka ku post utumbe inamlazim afungue id nyingine akisha maliza shida zake anaitelekeza
 
Kuna wengine wana account mbili na moja tu ndio anaitumia siku akipigwa ban anazuka na hio inginewe, Tofauti ya FB wafu waliweka na picha zao kabisa ndio hapa point ilipo wataondolewaje?
Kuhusu facebook mwaka huu wameanzisha utaratibu wa mtumiaji kuchagua mtu mmoja ambaye ataisimamia akaunti yako mara baada ya kufariki (legacy contact)
Mtu huyo ataweza tu;
kuapdate profile picture
kukubali friend request
Pin or post your timeline

Lakini pia huyo mtu hatakuwa na uwezo wa;
Kusoma msg zako
kupost as you
kuremove marafiki zako.

Kama hayo yote huyataki, unaweza kuchagua akaunti yako ifutwe moja kwa moja mara baada ya wewe kufariki.
Hii setting ikiwea ON, mtu akitoa taarifa kama wewe umefariki, basi facebook wataifuta kabisa baada ya kuona RIP nying kwenye profile yako.
Ila nadhani hapa mtu akiripoti kama fulani kafariki, halafu huyo fulani hakurequest acc yake kufutwa akifariki, nadhani haitafutwa.
 
Wengi wana shindwa ku delete mimi nilikuwa nazo tano nime delete nimebaki na mbili tu nataka nibaki na moja
mimi nimefanikiwa kujitoa zote FB mda sana, hii ya JF password iko mezani... nikifa washkaji waendelee kupost
 
Ila siku hizi wameweka mambo mengi hata ya wewe kuchagua kama ukifa nani ataweza ku update akaunti yako na mengineyo mengi.

Ni uamuzi wa mtu tu.
 
Back
Top Bottom