Akaunti za wafu Facebook ni nyingi

Akaunti za wafu Facebook ni nyingi

Hapa jf wengi wana id zaidi ya moja! kuna wengine id zao zilisha zoeleka hapa jf na wanaheshimika siku akitaka ku post utumbe inamlazim afungue id nyingine akisha maliza shida zake anaitelekeza
kama mimi niseme ukweli nina id tatu humu, hii ndo naitumia zaidi mbili za majanga yangu
 
Jf pia ina account kibao za wafu, tena zingine ni za mapepo kabisa.
 
App ya JF ni yakipumbavu sijapata ona limekaa lizito kama mawe halina hata options za muhimu.
 
App ya JF ni yakipumbavu sijapata ona limekaa lzito kama mawe halina hata options za muhimu.
Sasa unataka iwe kama wasapu...hii ni kitu nyingine...[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Sasa unataka iwe kama wasapu...hii ni kitu nyingine...[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Amna bana linaboa sana linakupa notifications wakati linajisikia sometimes unapata notifications za likes na replies sometimes hupati. Loading ndio utachoka PM ni kama haifanyi kazi matatizo ni mengi kwenye app yao na sioni hata kwanini waliitengeneza.
 
Facts
 
Kuna jamaa yetu tulimzika mwk jana, Daah nilikosa raha lastweek account yake ilikuwa ina-alert birthday yake!
 
wewe ni zuzu bora ungekuwa zombie life span ya binadamu ni 120years so account ikiwa in active kwa zaidi ya miaka 90+ ifutwe kwa msingi kuwa mhusika alijiunga akiwa na 18+
Ukitaka kuamini kuwa hata JF kuna memba wengi wamevuta, fungua nyuzi za 2010 kurudi nyuma halafu check last activities zao.
Nashauri JF mtu asipokuwa hewani kwa mwaka, akatwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom