Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,352
- 7,668
Mbona ni vijisenti tu hivyo...
Duh! kaka na wewe ulihusika kwenye mkataba wa EPA nini!!!
si hizo mia mia kumi tu mkuu?
Tatizo ni bilion au tatizo diomond maana sioni cha ajabu kipi hapo kuamini
Mkuu hiyo hela ni rahisi tu kuipata...100mil x 10 = 1billion
Ni million 100 mkuu acha upotoshaji au masikio yako yana kengeza?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Ni million 100 mkuu acha upotoshaji au masikio yako yana kengeza?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
That means kwa kila show ana-earn 100M, au?
Kaka nadhani wewe hukusikiliza maongezi yote...sentensi yake ya mwanzo alitaja kwamba ana zaidi ya 1 billion tshs...
Sijajua kwa show moja huwa anapata kiasi gani, ila kumbuka anauza nyimbo pia ukiacha hizo shows...
Huenda pia amewekeza, usifikirie mapato kutoka kwenye muziki tu...
Dogo ana wazimu huyu.