Mara ya kwanza msichana huyu jina na picha yake viliingia kwenye Headlines baada ya kuonekana akisalimiana na Rais Kenyatta huku akitokwa machozi.. Kumbe ni RaisKenyattaaliyemwona msichana huyo akitokwa machozi huku akimpungia mkono.. akasimamisha msafara wake na kumsalimia msichana huyo.
Huyu jamaa ni Binadamu sana. I wish ningelimfahamu kwa ukaribu, tungelikuwa na common language hasa kwenye vitu vya UB 40. Keep it up Prezidee. Just be yourself.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.