Hayana pazia, ukipenda waweza yawekea pazia mwenyewe.jamani sasa mnanionea, hivi macho yana pazia kweli?
Hayana pazia, ukipenda waweza yawekea pazia mwenyewe.
Nilikuwa sijawowa wakati huo..........bado nilikuwa nipo nipo tuuuuu................LOL
Huwwwiii pole sana Mpwaaana ile kitu haina adabu kabisa
......lol........ Thank you for making me laugh! Umenikumbusha kisa kimoja.....
Nina cousin wangu ni kichaa na anapenda saana weed, siku moja alipita maeneo ambayo wapiga debe na wafanyi biashara wapo kwa wingi mno. Tokana na kwamba umbo lake ni mwembamba mno alivaa suruali ya kubana saana... alipopita hayo maeneo wakaanza kumzomea the way alikua amechoreka. (bahati mbaya alikua sijui katoka kupata? mimi na wewe hatuju!) Alipoona anazidi zomewa alivua suruali yake hadi magotini akawaputukia (akiwa amevaa chupi red) na kuwaambia haya zomeeni sasa! GOD! Unaambiwa instead ya kumfanyia kitu mbaya wapiga debe na wafanya biashara wa hilo eneo walitahamaki na kukaa kimya!!!
Then huyo akavaa suruali yake na kuendelea na safari.... Kama mzaha lakini it is a true story.....lol
Hao sio wa kariakoo.
Nilikuwa sijawowa wakati huo..........bado nilikuwa nipo nipo tuuuuu................LOL
Wewe bado ni NJUKA huwezi kuelewa hii maneno.....................!
Hujui kupiga mbizi?
Ningekuwa mie, ningempigia mbizi sakafuni
story tamu mpaka kama naona hayo mapaja live
Wewe nawe........ mbona unashupalia sana.......... Isije ikawa wewe ndio Glady mwenyewe unanichezea shere hapa ofisini, maana nilipata kazi kwa hiyo ofisi na Glady ni mfanyakazi mwenzangu...LOL
Usijali kaka,ila jinsi alivyoelezea nimefanya imagination za hali za juu.Kaka unanitisha.....nachelea kukaribisha nyumbani kwangu! hahahahaha
Ongea nasi kwa hisan ya watu wa ...................,
Tutapiga kimya!!!