Akanipandishia gauni ili nione vizuri…………………!

......lol........ Thank you for making me laugh! Umenikumbusha kisa kimoja.....

Nina cousin wangu ni kichaa na anapenda saana weed, siku moja alipita maeneo ambayo wapiga debe na wafanyi biashara wapo kwa wingi mno. Tokana na kwamba umbo lake ni mwembamba mno alivaa suruali ya kubana saana... alipopita hayo maeneo wakaanza kumzomea the way alikua amechoreka. (bahati mbaya alikua sijui katoka kupata? mimi na wewe hatuju!) Alipoona anazidi zomewa alivua suruali yake hadi magotini akawaputukia (akiwa amevaa chupi red) na kuwaambia haya zomeeni sasa! GOD! Unaambiwa instead ya kumfanyia kitu mbaya wapiga debe na wafanya biashara wa hilo eneo walitahamaki na kukaa kimya!!!

Then huyo akavaa suruali yake na kuendelea na safari.... Kama mzaha lakini it is a true story.....lol
 
Hayana pazia, ukipenda waweza yawekea pazia mwenyewe.

Wewe nawe........ mbona unashupalia sana.......... Isije ikawa wewe ndio Glady mwenyewe unanichezea shere hapa ofisini, maana nilipata kazi kwa hiyo ofisi na Glady ni mfanyakazi mwenzangu...LOL
 
Hao sio wa kariakoo.
 
Pole sana mkuu,
Ila tena ndugu yangu amekuwaje dada yako wakati ulishafaidi japo kwa macho?
Ungemjibu MACHO HAYANA PAZIA
Thanks
 
Wewe nawe........ mbona unashupalia sana.......... Isije ikawa wewe ndio Glady mwenyewe unanichezea shere hapa ofisini, maana nilipata kazi kwa hiyo ofisi na Glady ni mfanyakazi mwenzangu...LOL

Hapa mkuu unavunga kikubwa! lakini najua zoezi la kwanza bahada ya kukipata hicho kibarua naona ulihakikisha kweli kile kilichokuwa kinang'aa kwa dada Glady ni dhahabu au?
 
hapa wanahusika watu wa CRDB, the Bank that Listens! otherwise mi sitishiki kabisaa! wewe unataka BB ya tandale mall, mwenzio nataka apple iPad! la sivyo hii hadi kwa maza! na huyo auntie mie namjua tulishawahi kupita na dingi hapo, ntakuonesha halafu tuanze tabia!:poa:poa
Ongea nasi kwa hisan ya watu wa ...................,
Tutapiga kimya!!!
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom