Akamatwa na pembe za ndovu - Mbinga

Akamatwa na pembe za ndovu - Mbinga

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,817
Reaction score
5,403
mtu mmoja anayefahamika kwa jina la karama mwenye asili ya kiarabu,leo mapema ametiwa nguvuni na wanajeshi wapatao kumi baada ya kuhisiwa na kukutwa na pembe za tembo nyumbani kwake maeneo ya maktaba mbinga-ruvuma.Wanajeshi hao waliizunguka nyumba ya mfanyabiashara huyo na wengine kuikagua ndani ndipo walipokuta 'ishu' hyo.Msako huo wa kushtukiza pia uliwanasa watu wengine wawili waliofahamika kwa majina ya mathias na pius kuhusiana na tukio hilo ambao wote wamechukuliwa na wanajeshi hao kuelekea kwenye sheria
 
Safi sana, nilimsikia Mheshimiwa Rais katika interview yake na ICCF kuwa kishaamuwa kuliingiza Jeshi la Wananchi kushughulikia hii mambo, naona kazi imeanza:

[video=youtube_share;Hxp1EN-_NUY]http://youtu.be/Hxp1EN-_NUY[/video]
 
kweli kabisa.Ila nawasikitikia raia waliochezea kichapo kikali eti kisa tu walipita karibu na nyumba hyo tena bila kujua kuna lolote linaendelea, iliyozungukwa na wajeda hao.
 
Acha unafiki we ngosha 2011,ulikuwa wapi?mpaka kakamatwa ndo wasema
 
Tulikuwa tunafatilia nyendo zake huko limbaramba na mpakani mwa msumbiji,huwezi sema wakati huna uhakika kama mzigo anao,na gari la wagonjwa la hosp ya wilaya ya mbinga ndio punda wa hiyo ishu,sio hao tu wapo wengi ila siwez taja hapa kwa ishu ya ki usalama zaidi,maana bado tunawasaka,kama una swali lingine uliza,na sasa tupo kwenye nyumba ya mfanyabiashara mmoja huku mtaa wa uzunguni kwa upekuzi
 
huyu hakutumwa na lile the Tembo dictator kweli, nauuliza tu
 
ngosha muda wote ameka kimya coz walikuwa wanmtuliza na cash inaonekana ameuza dili baada ya kubaniwa maana tatizo kubwa ya watumishi wa serkali ni cash tu ! Ukitoa cash fanya unavotaka na wao ndio wanakusaidia na ukiwabania tu wanakugauka mfano wao kina ngosha lol
 
kweli kabisa.Ila nawasikitikia raia waliochezea kichapo kikali eti kisa tu walipita karibu na nyumba hyo tena bila kujua kuna lolote linaendelea, iliyozungukwa na wajeda hao.
Lazima kuchukua tahadhari unapodeal na hao jamaa maana unawezajikuta unashambuliwa na al shabaab au al khaeda.
 
kweli kabisa.Ila nawasikitikia raia waliochezea kichapo kikali eti kisa tu walipita karibu na nyumba hyo tena bila kujua kuna lolote linaendelea, iliyozungukwa na wajeda hao.
WaTZ tumezidi mno kushangaa hata panapostahili kukimbia. Usikute walitaka kuwa wa kwanza kuipata hiyo news ili waonekane wakali. Poleni mliochezea kichapo hicho. Chezea JWTZ weye!
 
kumbe mbinga nao wapo

ulikuwa hujui?utajua mengi subiri tu,na huwezi amini mtaani wanasumbua kwa kubadili magari huku tembo wanakufa,safari yangu ya mbinga nimeona mengi sana,vp na wewe maeneo hayo ya magengeni hakuna mfanyabiashara unayemjua hapo mwenye asili ya kimatengo ambaye........ Tuludi kwenye mada yetu,mbinga wapo tena mpaka wa drug kupitia njia machimbo ya dhahabu mpepo huko,ila mwaka huu ni wao
 
ngosha muda wote ameka kimya coz walikuwa wanmtuliza na cash inaonekana ameuza dili baada ya kubaniwa maana tatizo kubwa ya watumishi wa serkali ni cash tu ! Ukitoa cash fanya unavotaka na wao ndio wanakusaidia na ukiwabania tu wanakugauka mfano wao kina ngosha lol

hakuna cha fedha wala nini,dili zao walikuwa wanashirikisha watu ambao ni wakujisifia sana,ndio maana hata upelelezi na muda ambao waliingiza mzigo ulifahamika,gari za kubeba mafuta ndio zilikuwa zinabeba mpaka dar,sisi kazi yetu ni kukamata tu hayo mengine ni huko juu,ila wana mbinga wapunguze kimbele mbele maana unaweza pigwa risas pasipo sababu ya msingi
 
Back
Top Bottom