Wana JF, siku chache kabla ya PASAKA nilitoa angalizo kuwa, watu waitumie Pasaka vema, wazazi wawaangalie watoto wao hasa wa kike n.k. Sasa kuna kabinti ka form two hapa kwetu town alikuwa amepotea tangu jumamosi usiku alipo kuwa ameenda kwenye mkesha wa Pasaka, jana kutwa nzima hakuoneka, katika kutafutatafuta, vijana wakamtonya baba wa binti kuwa mwanao atakuwa kwa Emmanuel, leo hii mida ya saa 12 asubuhi, tukavamia nyumba ya akina Emmanuel na kumkuta bado kalala na mtoto wa form two! Hapo kilichoendelea ni kipigo na kijana kapoteza fahamu na hadi sasa hajaziduka, bado yupo chini ya uangalizi maalum wa madaktari! Sasa jamani, kwanini vijana wakazanie vitoto na watu wazima (wasichana) wamejaa tele? Kwanini tunatumia sikuu tena za kiimani kukwapua watoto wa watu?
Kibuzi chako nini...?! Maana akivunjwa huipati tena.masikini Emmanuel.....wasiwe tu wamevunja nanihii yake.......
Kuna watu imewakosti sana hii tarehe, kwa kudhani kuwa kila kinachosemwa tarehe hii ni uwongoleo ni tarehe 1/4/2013; asante sana.
ina maana jamaa alitaka kuoa kabsa au?
Form 2 ni kiwango cha
darasa lakini huja taja umri. Form 2 aweza akawa ana umri wa miaka 20.
kama ni hivyo Hapo haja vunja sheria kwani atakuwa amefanya kwa hiari na
wakimpiga wamemuonelea. Kama binti yupo 16 basi sheria ita fwata
mkondo wake na yaweza kufanywa kuwa RAPE. Toa maelezo vizuri.
Mwisho wa ubaya ni aibu.
,,,,sio kuoa ndugu,,,ni matunda ya bongo fleva na mathilia yanayo endelea katika mastesheni ya tv zetu,,,ukifungua,,redio,,nyimbo,,,zina,,chochea,,,zinaa,,,,mapenzi,,,mapenzi,,tamthilia,,,vile,,vile,,,tena,,shetani,,,anawafanya,,watoto,,kwa,,wakubwa,,,,kuzipenda,,,,mno,,,,na,,,,mapepo,,,ya,,,zinaa,,yana,,waingia,,,kweli,,kweli,,,jamani,,,,uwezi,,,kupanda,,,maindi,,,,ukavuna,,,mchele,,,ukipanda,,mapenzi,,,utavuna,,,[mimba][ukimwi],,,,,,angalizo,,kwa,,tv,,,stesheni,,,na,,wasanii,,wasifurie,,kupata,,pesa,,nyingi,,,,ukuwakileta,,,madhara,,,makubwa,,,kwa,,jamii,,,yetu,,,wito,,wangu,,,watubu,,,na,,,kumrudia,,,mungu,,,la,,sivyo,,,ajali,,,na,,vifo,,,vya,,gafla,,,vitakua,,,juu,,yao,,,,mungu,,,atukuzwi katika,,,nyimbo,,wala,,,picha,,zao,,,bali,,,anatukuzwa,,,,shetani,,,,,
kha!!! wa form two watamu wee unataka tugegede waliozoea dushelele na wapo kibiashara zaidi
Baba hana akili kabisa ....anampiga huyo kijana kwa kosa lipi...ashukuru mwanae kapata huduma anazokosa kwao
Kametaka kenyewe coz hakajabakwa
acha ujinga we docta gani kigezo sio umri bali ni mwanafunzi wa secondary pumbavu weForm 2 ni kiwango cha darasa lakini huja taja umri. Form 2 aweza akawa ana umri wa miaka 20. kama ni hivyo Hapo haja vunja sheria kwani atakuwa amefanya kwa hiari na wakimpiga wamemuonelea. Kama binti yupo 16 basi sheria ita fwata mkondo wake na yaweza kufanywa kuwa RAPE. Toa maelezo vizuri.
Sheria yenyewe ni ya kilevi.Kama binti yupo 16 basi sheria ita fwata mkondo wake na yaweza kufanywa kuwa RAPE. Toa maelezo vizuri.