Ajira za walimu

nessonlegend

JF-Expert Member
Mar 1, 2013
1,698
1,508
Ndoto yangu usiku wa kuamkia leo, nimeota eti ajira za waliimu ambao wamemaliza vyuo mwaka 2015 zitatolea usiku wa kuamkia sep 1-2016 ili kuwakipu bize vijana wasishiriki ujenzi. Tuwe na subira tu
 
pia naskia uliota mishahara nayo itatolewa tarehe hizo hizo ili watu wawe bze kwenye mambo ya fwedha...
 
ni bora ukaota ndoto ila kuota ukiwa ndotoni ni taabu kwelikweli!!
anaota akiwa anaota. kesho yake anawahadithia watu kua, jana nliota nmelala. ktk ndoto hio ya kulala nkaota natembea na nlipochoka nkalala. nlipolala tena nkaota nakula.
 
Back
Top Bottom