Ajira za walimu zitoke mwezi huu(December 2016)

Abuwhythum

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2015
Posts
838
Reaction score
496
Mimi ni Mtanzania wa kawaida tu!
Kwa kuwa serikali imefikia katika hatua nzuri ya mchakato wake wa UHAKIKI.
Ninaishauri Serikali kupitia TAMISEMI itangaze ajira mwezi huu, ili waajiriwa wapya waitumie DECEMBER katika michakato ya kuripoti, kutafuta makazi, kupangiwa majukumu, kuandaa maazimio ya kazi, kujikumbushia masuala mbali mbali maana wamekaa mtaani kwa muda mrefu sana na mengineyo mengi ili mapema JANUARY vijana hawa waanze kazi yao wakiwa tayari masuala ya msingi wameyakamilsha tayari.
Ninaamini Serikali yetu ni sikivu.
Hivyo huu ushauri utafanyiwa kazi kwa asilimia zote.
Naomba kuwasilisha.
 
Acha

Naomba kuwasilisha.[/QUO
Endelea kuishi kwa matumaini,hakuna ajira kijana,msimu wa mvua ndo huu umeanza ingia shamba kapige kazi,kuliko kushinda humu JF
 
Kazi ninapiga ndo maana nimeweza kumudu maisha yangu ya kitaa kwa zaidi ya mwaka mmoja na nusu sasa. Pia Ninamshukuru Mungu kuona ninamiliki hiki kismart phone . Wengi wanatamani watoe maoni yao ila sasa hawana vya kuwawezesha kuyatoa maoni hayo.
 
Bado una imani na ccm ??
1a31a513d148f22e361cc72e16f3dd38.jpg
 
Na Engineers, Lawyers na Doctor's wao nani atawaajiri, watanzania wote ni sawa Sasa ni zamu yenu walimu kutembea na bahasha za kaki
 
Mimi ni Mtanzania wa kawaida tu!
Kwa kuwa serikali imefikia katika hatua nzuri ya mchakato wake wa UHAKIKI.
Ninaishauri Serikali kupitia TAMISEMI itangaze ajira mwezi huu, ili waajiriwa wapya waitumie DECEMBER katika michakato ya kuripoti, kutafuta makazi, kupangiwa majukumu, kuandaa maazimio ya kazi, kujikumbushia masuala mbali mbali maana wamekaa mtaani kwa muda mrefu sana na mengineyo mengi ili mapema JANUARY vijana hawa waanze kazi yao wakiwa tayari masuala ya msingi wameyakamilsha tayari.
Ninaamini Serikali yetu ni sikivu.
Hivyo huu ushauri utafanyiwa kazi kwa asilimia zote.
Naomba kuwasilisha.
Kuna walimu wapya wamemaliza hao nao itakuwaje? Wanaanza walimu wapya wa zamani mlishazoea maisha
 
Ikibidi wote waajiriwe kwa pamoja maana "Serikali haijafirisika" w/mkuu
 
aliyeshiba huwa anasahau kabisa njaa inaumaje!!...hawez kumkumbuka mwenye njaa
 
Awamu ya tano shikilia hapo hapo ajirini ndugu,mashemeji,wazee,mahawara,maswahiba,na makada wa ccm vijana waliomaliza vyuo WAISOME NAMBA.CCM mkimaliza KIKI ya wafanyakazi hewa nawapa kiki nyingine ya kuhakiki RAIA HEWA......baadaye KONDOMU HEWA na mwisho anzeni KAMPENI ZA UCHAGUZI 2020.
 
good thinking like eating ice cubes but when you look looksly you are starving you are busting
 
kuna uhakiki wa raia hewa unakujaaaaa...

kuwa mvumilivu tu hata usa govt haiajiri raia wote
 
Muta mkumbuka mh:jakaya kikwete muri ajiriwa mwezi january l
 
HAUJUI MAANA YA UHAKIKI? subiri tumalize alafu January tutakuwa tunaangalia wahamiaji mpk march then apo tutaangalia nyie kama tukipata nafasi

Hivi mi nimesoma elimu ndogo tu lakin nimefundisha kwa mwez lak 4 huku kula na kulala juu ya shule tatzo mnapenda mjini sana
 
kuna uhakiki wa raia hewa unakujaaaaa...

kuwa mvumilivu tu hata usa govt haiajiri raia wote
Lakini ina sera madhubuti kuhusu ajira ambapo serikali inawajibika kuhakikisha viwango vya unemployment havipindukii. Haiajiri ndio lakini inawajibika kutengeneza fursa. Kila siku mkuu anasema nchi ni tajiri mbona serikali haitengenezi fursa?
 
Hapa ishi tu kama vile hakuna kitu kinachoitwa ajira maana bila hivyo utapata ugonjwa wa moyo.
 
Back
Top Bottom