Hawo watu waache 2020 itafika Tu tutawapitishaaaaaaaaaaLakini ina sera madhubuti kuhusu ajira ambapo serikali inawajibika kuhakikisha viwango vya unemployment havipindukii. Haiajiri ndio lakini inawajibika kutengeneza fursa. Kila siku mkuu anasema nchi ni tajiri mbona serikali haitengenezi fursa?
Mnamchagua mtu alafu anakuja kuwatesa ujinga huu.Hawo watu waache 2020 itafika Tu tutawapitishaaaaaaaaaa
Masikini walimu tarajari walidanganywa na Pombe(mwalim msitafu) kwamba ajira kwa vijana ni mapema kumbe alikuwa anatetea tumbo lake hivi sasa kanona amesahau kuwa alipiga pushups ili apate hilo tonge daaah polen sana ata mimi imeniuma sana kadanganya kuwa itachukua miez miwil hatimaye mwaka huoooo....ipo siku shetan lililomshika litatoka ni maombi tu....Mimi ni Mtanzania wa kawaida tu!
Kwa kuwa serikali imefikia katika hatua nzuri ya mchakato wake wa UHAKIKI.
Ninaishauri Serikali kupitia TAMISEMI itangaze ajira mwezi huu, ili waajiriwa wapya waitumie DECEMBER katika michakato ya kuripoti, kutafuta makazi, kupangiwa majukumu, kuandaa maazimio ya kazi, kujikumbushia masuala mbali mbali maana wamekaa mtaani kwa muda mrefu sana na mengineyo mengi ili mapema JANUARY vijana hawa waanze kazi yao wakiwa tayari masuala ya msingi wameyakamilsha tayari.
Ninaamini Serikali yetu ni sikivu.
Hivyo huu ushauri utafanyiwa kazi kwa asilimia zote.
Naomba kuwasilisha.