Ajira za wabunge wa CCM Same kuota mbawa kabla ya 2015. Jionee matukio katika picha

simon james

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
283
140
SAM_1121.JPG SAM_1224.JPG SAM_1252.JPG SAM_1220.JPG DSC08504.JPG DSC00665.JPG DSC00663.JPG DSC00644.JPG DSC08318.JPG

Kile kisicho aminika kwa CCM sasa kipo wazi baada ya jamii ya wapare same magharibi kujitokeza kwawingi kwenye mikutano ya kufungua ofisi za CHADEMA Same.

Hasa ule uliofanyika Kata ya makanya na wazee kutamka wenyewe kuwa hawaihitaji tena CCM na mbunge wake David Matayo kwani amekuwa mtu asiye na mipango hasa ya maendeleo kwani tangu wampe ubunge hawaoni chochote alichofanya zaidi ya kuwadanganya kuwa yeye ndiye anaye waletea mahindi ya msaada.

Wazee zaidi ya 200 walifika ofisi ya CHADEMA Kata ya makanya siku moja baada ya mkutano kujiandikisha ili wapewe kadi za CHADEMA NA wengi walirudisha kadi za CCM. Huu ni mwanzo tu katika kuhakikisha kuwa tunaikomboa same.Kwamatukio zaidi wasiliana na 0752225501
 
Safi sana,harakati hizi ziendelee maeneo mengi zaidi ya Tanzania hasa hasa vijijini ili jina la CCM libaki historia mioyoni mwa watanzania.Freedom is coming soon.
 
kuna kada wa ccm aliwah kusema sijui hii mikutano ya chadema same wanaifanyia wapi. hebu sasa ojionee mwenyewe
 
sasa tunaweka mipanfo ili m4c ije rasmi same, wana ccm mjue tulikuwa tuna bp ila sasa tutawapigia mpaka kieleweke
 
safi sana, tuko pamoja makamanda mpaka kielweke, mkiwa mnapandisha Suji mniambie aisee, na Gonjanza na Tae
 
Prof Mg ameanza kutengeneza mabomba ya maji, huku dar, haitaji tena kuja huko. Hata kazi ya utangazaji TBC anaweza, Tafuteni mbinge wenu wa CDM.
 
Back
Top Bottom