Hutangazwa kupitia HalmashauriLeo asubuhi katika kusikiliza vyombo vya habari nimesikia taarifa ya kibali cha ajira ikiwemo za utendaji kimetolewa.
Naomba kufahamu kwa wenye kufahamu hizi ajira hutolewa kwa mfumo upi na hutumia mchakato gani?
Oooh shukrani mkuu. Nilizani anazotangaza mkurugenzi ni zile za watendaji wa mitaa/vijiji kumbe hata za kata!hizo hutangazwa na mkurugenzi wa halmashauri husika na mnaenda kufanya usahili,
tangazo la ajira hutolewa kwwnye tovuti ya sekretarieti ya ajira pamoja na tovuti rasmi ya halmashauri husika
Sawa mkuuHutangazwa kupitia Halmashauri
Leo asubuhi katika kusikiliza vyombo vya habari nimesikia taarifa ya kibali cha ajira ikiwemo za utendaji kimetolewa.
Naomba kufahamu kwa wenye kufahamu hizi ajira hutolewa kwa mfumo upi na hutumia mchakato gani?
si kweliMchakato huwa ni ajira portal kama kawa na vigezo kwa kata ni degree
sio kweli kivipi au kwa vile unaonaga kazi za afisa watendaji wa mtaa na kijiji zinafanyika kwenye halmashauri usika ndoo useme sio kwelisi kweli
Mtaa ni NTA level 5Mchakato huwa ni ajira portal kama kawa na vigezo kwa kata ni degree
Mtaa ni NTA level 5
Kata ni NTA level 6
Hivyo usaili ufanyika ktk halmashauri husika kwa kuomba kibali cha kuajiri toka Utumishi... hata taasisi za Umma ufanya hivyo, uomba kibali cha kuajiri pale wanapo kuwa na upungufu na uhitaji...
na kuajiri kuna pitia mchakato tofauti kuanzia kutambua uhitaji mpaka kuja kupatika mwenye sifa na kuthibitishwa kazini...
hivyo kumbuka mtendaji kata ni Level 6... na ni mara chache saaaaaaaaaaaaaana wana ajiri juu ya level 6...
Kila la kheri katika mchakato wa kuwa mtumishi...
Basi huu utakuwa ni utaratibu mpya.. ila ninachofahamu WEO huwa ni Diploma na VEO ni Certificate.Mchakato huwa ni ajira portal kama kawa na vigezo kwa kata ni degree
Upo sawa mkuuMtaa ni NTA level 5
Kata ni NTA level 6
Hivyo usaili ufanyika ktk halmashauri husika kwa kuomba kibali cha kuajiri toka Utumishi... hata taasisi za Umma ufanya hivyo, uomba kibali cha kuajiri pale wanapo kuwa na upungufu na uhitaji...
na kuajiri kuna pitia mchakato tofauti kuanzia kutambua uhitaji mpaka kuja kupatika mwenye sifa na kuthibitishwa kazini...
hivyo kumbuka mtendaji kata ni Level 6... na ni mara chache saaaaaaaaaaaaaana wana ajiri juu ya level 6...
Kila la kheri katika mchakato wa kuwa mtumishi...
"Ni heshima kwa Mungu kumtukana na kumzomea Fisadi kama Lowasa"-Godbless J Lema (mbunge wa Arusha)Usiwe mbishi toka ameingia Magufuli kazi zozite level ya Diploma na degree zinapitia utumishi isipokuwa kada ya udaktari na ualimu ...fanya utafiti
Sio mpya mkuu ni wa siku nyingi kazi yangu ya kwanza ni WEO na niliingia 2014 na tulipitia sekretariet ya ajira katika utumishi wa umma wakati huo ikiwa pale maktaba ya Taifa ,kwa mtu anayetaka kuomba nafasi hizo anicheki nina kiuzoefu kidogoBasi huu utakuwa ni utaratibu mpya.. ila ninachofahamu WEO huwa ni Diploma na VEO ni Certificate.