Ajira za utendaji wa kata

Nkondo 2

Senior Member
Oct 10, 2016
163
127
Leo asubuhi katika kusikiliza vyombo vya habari nimesikia taarifa ya kibali cha ajira ikiwemo za utendaji kimetolewa.

Naomba kufahamu kwa wenye kufahamu hizi ajira hutolewa kwa mfumo upi na hutumia mchakato gani?
 
Hutangazwa kupitia Halmashauri
 
hizo hutangazwa na mkurugenzi wa halmashauri husika na mnaenda kufanya usahili,

tangazo la ajira hutolewa kwwnye tovuti ya sekretarieti ya ajira pamoja na tovuti rasmi ya halmashauri husika
Oooh shukrani mkuu. Nilizani anazotangaza mkurugenzi ni zile za watendaji wa mitaa/vijiji kumbe hata za kata!
 
Leo asubuhi katika kusikiliza vyombo vya habari nimesikia taarifa ya kibali cha ajira ikiwemo za utendaji kimetolewa.

Naomba kufahamu kwa wenye kufahamu hizi ajira hutolewa kwa mfumo upi na hutumia mchakato gani?

Mchakato huwa ni ajira portal kama kawa na vigezo kwa kata ni degree
 
sio kweli kivipi au kwa vile unaonaga kazi za afisa watendaji wa mtaa na kijiji zinafanyika kwenye halmashauri usika ndoo useme sio kweli

kwa taarifa yako kiongozi wa jopo la usaili anakua katoka psrs (utumishi) kuna kua na mtu wa takukuru pia na hr wa halmashauri usika

note usaili kufanyikia halmashauri usika siokwamba sio utumish(psrs)
 
Mchakato huwa ni ajira portal kama kawa na vigezo kwa kata ni degree
Mtaa ni NTA level 5
Kata ni NTA level 6

Hivyo usaili ufanyika ktk halmashauri husika kwa kuomba kibali cha kuajiri toka Utumishi... hata taasisi za Umma ufanya hivyo, uomba kibali cha kuajiri pale wanapo kuwa na upungufu na uhitaji...

na kuajiri kuna pitia mchakato tofauti kuanzia kutambua uhitaji mpaka kuja kupatika mwenye sifa na kuthibitishwa kazini...

hivyo kumbuka mtendaji kata ni Level 6... na ni mara chache saaaaaaaaaaaaaana wana ajiri juu ya level 6...

Kila la kheri katika mchakato wa kuwa mtumishi...
 
Usiwe mbishi toka ameingia Magufuli kazi zozite level ya Diploma na degree zinapitia utumishi isipokuwa kada ya udaktari na ualimu ...fanya utafiti
 
Upo sawa mkuu
 
"Ni heshima kwa Mungu kumtukana na kumzomea Fisadi kama Lowasa"-Godbless J Lema (mbunge wa Arusha)
 
Basi huu utakuwa ni utaratibu mpya.. ila ninachofahamu WEO huwa ni Diploma na VEO ni Certificate.
Sio mpya mkuu ni wa siku nyingi kazi yangu ya kwanza ni WEO na niliingia 2014 na tulipitia sekretariet ya ajira katika utumishi wa umma wakati huo ikiwa pale maktaba ya Taifa ,kwa mtu anayetaka kuomba nafasi hizo anicheki nina kiuzoefu kidogo
 
Back
Top Bottom