Soko la ajira la sasa litakutupa mkono kama utaendelea kuwa na style hiyo mkuu...
Anyway...utatupa mrejesho wa pm.
Uhasibu unataka MTU akupm! Huko soko limeshakufa muda tu ,ukitaka jiajili mwenyewe la sivyo utangoja sana.
Nimemaliza chuo kikuu cha Dar es salaam ngazi ya shahada. Katika fani ya uhasibu kwa wenye makampuni au yeyote anaetaka kuajiri mwasibu anipm ili tuweze kuwasiliana zaidi. Ahsanteni
Aiseeee bongo bana...Nimemaliza chuo kikuu cha Dar es salaam ngazi ya shahada. Katika fani ya uhasibu kwa wenye makampuni au yeyote anaetaka kuajiri mwasibu anipm ili tuweze kuwasiliana zaidi. Ahsanteni
Ajira siku hizi ngumu sana kuna waliomaliza shahada kama yako chuo hicho hicho miaka mitatu iliyopita lkn bado hawajapata ajira mpaka leo.. Jitahid tu kupitia matangazo ya kazi na kujaribu kuomba unaweza kubahatika..ila pia tafuta sehemu ya kujitolea hata bila malipo kujenga uzoefu wa kazi maana mpaka sasa wewe ni wa kufundishwa kazi ni sio wa kuajiriwa na kufanya kazi..lkn pia unaweza kujiendeleza kwa kufanya CPA angalau uwe na sifa za ziada..kama ungekua na uwezo ungefikiria kuunganisha masters ili angalau uwe tofauti maana watu wenye shahada kama yako mtaani ni wengi kweli...pendelea kutembelea tovuti ya mashirika ya kimataifa UNDP na uombe zile za kujitolea kuna wanaobahatika kupata huwezi jua...kwa kifupi ajira ni ngumu ndugu..ni kama vita tu sasa...kila la heri
hayupo serios huyu!!!!!!!!haya ngoja nikupm maana nina biashara yangu ya kuuza karanga nataka mhasibu
Ajira siku hizi ngumu sana kuna waliomaliza shahada kama yako chuo hicho hicho miaka mitatu iliyopita lkn bado hawajapata ajira mpaka leo.. Jitahid tu kupitia matangazo ya kazi na kujaribu kuomba unaweza kubahatika..ila pia tafuta sehemu ya kujitolea hata bila malipo kujenga uzoefu wa kazi maana mpaka sasa wewe ni wa kufundishwa kazi ni sio wa kuajiriwa na kufanya kazi..lkn pia unaweza kujiendeleza kwa kufanya CPA angalau uwe na sifa za ziada..kama ungekua na uwezo ungefikiria kuunganisha masters ili angalau uwe tofauti maana watu wenye shahada kama yako mtaani ni wengi kweli...pendelea kutembelea tovuti ya mashirika ya kimataifa UNDP na uombe zile za kujitolea kuna wanaobahatika kupata huwezi jua...kwa kifupi ajira ni ngumu ndugu..ni kama vita tu sasa...kila la heri
Kwa mwaka wanamaliza zaidi ya Wahasibu 7000 kutoka vyuo vya Udsm,tia,cbe dsm dodoma na mbeya,ifm,arusha,kiu,mzumbe,saut.Bila kukomaa na CPA ajira ni ngumu.
Tafadhari naomba ufafanuzi CPA ndo nini ili niende kukomaa nao inaweza ikanitoa
Umesoma shahada ya UHASIBU na hujui CPA ni nini?!
Amazing!!
Tafadhari naomba ufafanuzi CPA ndo nini ili niende kukomaa nao inaweza ikanitoa
Tafadhari naomba ufafanuzi CPA ndo nini ili niende kukomaa nao inaweza ikanitoa
hivi we dogo uko sawa kweli,yani umesoma A/c then huijui CPA,asa kama cpa huijui ACCA utakua ushawahi kuiskia hata?